Naona Kama vile picha za CCTV camera. Ila haya manguo yapigwe marufuku.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova

Acha ujinga ww hii imetokea kisauni kenyaAisee! Wapi hii? CCM walaaniwe kwa kweli.
Wamekosea sana kutumia hayo mavazi wakati ni mavazi safi yaliyoshushwa kutoka juu na siyo kushonwa na mafudi nguo.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Huoni wanamapanga na mwathirika hana silaha yoyote.Hivyo viboko vitatu ni vya kwanini huna hela.. ila wanaume wa Dar bhana jamaa anageuzwa tu kama mlenda hakuna ubishi wowote
Kisauni Zanzibar hioAisee! Wapi hii? CCM walaaniwe kwa kweli.
Kumbe Kenya? Sio Zanzibar? Niliskia kisauni kigorofani paleAcha ujinga ww hii imetokea kisauni kenya
PanafananiaKisauni Zanzibar hio
We k3ng3 wa ndani, Serikali ya CCM imefukarisha MAELFU ya Vijana nchini. Vijana wengi kwasasa ni MALOFA, si ajabu wakija na huo UBUNIFU.Acha ujinga ww hii imetokea kisauni kenya
Hiyo ni video ya tahadhali kutoa somo au ni CCTV footage.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
[/QUOTEKwahiyo we mchukua video ulikuwa sehemu ya hao vibaka au!? Mana inafikirisha current issues kama hizo kupata kurekodi tukio nzima hivo.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Sio ple dada japo kisauni yenu ina matukio iyo m napaogopa kisauni 🤣🤣🤣Kumbe Kenya? Sio Zanzibar? Niliskia kisauni kigorofani pale