Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

Wabongo kwa ujuaji tuko vzr lkn n vichwa maji, cctv camera inatoa picha horizontal tuu kama unazoona kwenye TV za kawaida, simu inatoa picha horizontal na vertically.

Haya nipe jibu hapo, hiyo video n ya cctv au simu?
Kabla sijakujibu anza kwanza wewe kujibu kile nilichotangulia kuuliza.
 
Back
Top Bottom