Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..

Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka

Naona hapo mzee kabananishwa katulia

Ova

Hiyo ni video ya tahadhali kutoa somo au ni CCTV footage.

Najiuliza aliekuwa anapiga picha ni kibaka mwenzao, raia mwema au CCtv camera?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…