Sasa ndugu matusi ya nini?We k3ng3 wa ndani, Serikali ya CCM imefukarisha MAELFU ya Vijana nchini. Vijana wengi kwasasa ni MALOFA, si ajabu wakija na huo UBUNIFU.
Naskia kisauni KenyaPanafanania
Kweli. Vibaka wamejaa kibaoSio ple dada japo kisauni yenu ina matukio iyo m napaogopa kisauni 🤣🤣🤣
hiyo itakuwa kamera ya nje kwenye hiyo nyumba
CCTV Camera haina motion kama hizo... Hiyo ni mtu alikua anarekodi...hiyo itakuwa kamera ya nje kwenye hiyo nyumba
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Hiyo ni kamera iliyofungwa kwa juu hata ukiangalia picha inaonekana kabisa imerekodiwa kutokea juu
😂😂Wamekosea sana kutumia hayo mavazi wakati ni mavazi safi yaliyoshushwa kutoka juu na siyo kushonwa na mafudi nguo.
Lakini kweli watakuwa majunk wa Kisauni haoHii ni Kenya na wameshakamatwa.
Hyo sio kauli eti watu wa dar…Endelea kukaa huko huko maana huna uelewa wala experience na wahuni ama kibaka tena mwenye silaha....wewe adui zako wa usiku ni wachawai na nyoka tu shamba huko ila dsm adui wa biandamu ni binadamu…sasa watu wako watatu na wana silaha za jadi washavuta booster akili zao mbili ukifurukuta wanaondoka na paji la uso na ukcheki huyo ni mtu mzima na kipara chake ulitaka afanyaje ama tuambie ungekuwa wewe ungefanyaje? Kaka hvyo walivyompora vinataftika kwa gharama ila ukijeruliwa itakua ghrama mara nne muda wakutafuta, gharama za matibabu,gharama za kurejesha ulcho nacho na gharama za kupgania ama kupoteza uhai kila kitu hakihitaji nguvu vingne akili na kumpsha shetani apite tu.Hivyo viboko vitatu ni vya kwanini huna hela.. ila wanaume wa Dar bhana jamaa anageuzwa tu kama mlenda hakuna ubishi wowote
Changanyikeni miaka ya nyuma walimalza wizi kwa hyo style ya sheria mkononi vijana walkula sana viberiti wakawa wanaishia msewe golani na makongo juu maana ilfika sehemu raia wamenogewa na kupga watu viberiti ata saa saba usiku ukipga wimbo wataifa watu hao..wezi walijifunza ata akiiba maeneo jiran hakimbilii changanyiken maana ukiingia kule unakua mali yao wizi ukaanza kurudi baada ya serikali kuonya tabia hyo.Hatari sana ,dawa ya hao wahuni ni kuwawekea mtego wakiingia kwenye 18 ni kupiga kibiriti ili iwe fundish kwa MIHUNI mingine.
Hahahaha shukran kwa kushare nami. Hata hivyo hakuna uhusiano wowote wa kupigwa marufuku niqab ninja na kupungua kwa wizi usiku.
Usihofu, CCM wala haitegemei kura za yoyote kushinda. Pia Hijab na niqab zitavaliwa sana enzi hii kama ishara ya kuunga mkono, kuwa pamoja na shukrani.Hahahaha shukran kwa kushare nami. Hata hivyo hakuna uhusiano wowote wa kupigwa marufuku niqab ninja na kupungua kwa wizi usiku.
Niqab iheshimiwe kama vazi la kiibada kwa baadhi ya wanajamio. Hata kama linatumika vibaya na watu wasio wema.
Haki ya kuvaa hijab ni ya kikatiba. Haiwezi kukatazwa kama kweli ccm wanataka kura za waislam
Chama chochote Chenye nia ya kuzuia uvaaji wa hijab, kanzu, niqab waweke wazi katika ilani zao za vyama
Nini msimamo wa waandamizi wa chama MBADALA. ChademaUsihofu, CCM wala haitegemei kura za yoyote kushinda. Pia Hijab na niqab zitavaliwa sana enzi hii kama ishara ya kuunga mkono, kuwa pamoja na shukrani.
Hapo umetoka kujiboost na chipsi yai... Nilishapambana na vibaka 5 wenye majambia sio huto tuvisu, yaani umeandika kidada dadaHyo sio kauli eti watu wa dar…Endelea kukaa huko huko maana huna uelewa wala experience na wahuni ama kibaka tena mwenye silaha....wewe adui zako wa usiku ni wachawai na nyoka tu shamba huko ila dsm adui wa biandamu ni binadamu…sasa watu wako watatu na wana silaha za jadi washavuta booster akili zao mbili ukifurukuta wanaondoka na paji la uso na ukcheki huyo ni mtu mzima na kipara chake ulitaka afanyaje ama tuambie ungekuwa wewe ungefanyaje? Kaka hvyo walivyompora vinataftika kwa gharama ila ukijeruliwa itakua ghrama mara nne muda wakutafuta, gharama za matibabu,gharama za kurejesha ulcho nacho na gharama za kupgania ama kupoteza uhai kila kitu hakihitaji nguvu vingne akili na kumpsha shetani apite tu.
Hawa watafanya tunaovaa hijabu tufukuzwe km wezi..!! 😹😹Cctv hyo imechukua
Point hapo,usiku ukiona watu wamevaa hijabu kaa mguu sawa
Ova