Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,890 Reaction score 7,043 Jun 1, 2025 #81 Mbaga Jr said: Wabongo kwa ujuaji tuko vzr lkn n vichwa maji, cctv camera inatoa picha horizontal tuu kama unazoona kwenye TV za kawaida, simu inatoa picha horizontal na vertically. Haya nipe jibu hapo, hiyo video n ya cctv au simu? Click to expand... Kabla sijakujibu anza kwanza wewe kujibu kile nilichotangulia kuuliza.
Mbaga Jr said: Wabongo kwa ujuaji tuko vzr lkn n vichwa maji, cctv camera inatoa picha horizontal tuu kama unazoona kwenye TV za kawaida, simu inatoa picha horizontal na vertically. Haya nipe jibu hapo, hiyo video n ya cctv au simu? Click to expand... Kabla sijakujibu anza kwanza wewe kujibu kile nilichotangulia kuuliza.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Jun 1, 2025 #82 Angel Nylon said: Kumbe Kenya? Sio Zanzibar? Niliskia kisauni kigorofani pale Click to expand... Ni Zanzibar polisi wamethibitisha na wameshakamatwa video ipo ayo
Angel Nylon said: Kumbe Kenya? Sio Zanzibar? Niliskia kisauni kigorofani pale Click to expand... Ni Zanzibar polisi wamethibitisha na wameshakamatwa video ipo ayo
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,791 Reaction score 23,561 Jun 1, 2025 #83 KENZY said: Ni Zanzibar polisi wamethibitisha na wameshakamatwa video ipo ayo Click to expand... OK, kumbe! Ndio nami niliskia hivyo. Mitaa jirani na kwangu hapo
KENZY said: Ni Zanzibar polisi wamethibitisha na wameshakamatwa video ipo ayo Click to expand... OK, kumbe! Ndio nami niliskia hivyo. Mitaa jirani na kwangu hapo
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Jun 1, 2025 #84 Angel Nylon said: OK, kumbe! Ndio nami niliskia hivyo. Mitaa jirani na kwangu hapo Click to expand... ahaa! kumbe basi nitakuja kukutembelea ila mchana maana usiku naona umeshakuwa na wenye nao kujikuta majinuni bure!..🤣
Angel Nylon said: OK, kumbe! Ndio nami niliskia hivyo. Mitaa jirani na kwangu hapo Click to expand... ahaa! kumbe basi nitakuja kukutembelea ila mchana maana usiku naona umeshakuwa na wenye nao kujikuta majinuni bure!..🤣