Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachimba mafuta na wa auza buku kwa lita, tatizo nchi imemezwa na ukabila na udini,Nikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Kuchimba mafuta bajeti yake si mchezo bora wazungu watusaidie huku tukiendelea kujipangaNikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Upigaji na viongozi wetuNikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Hii inflation inayowakuta Nigeria sio mchezo
Hio ni kweli kabisa nchi ikiwa ina madeni pesa yake inashuka, kinachosaidia pesa kuwa strong ni Political and economic stability and the demand for a country's goods and services are also prime factors in currency valuation.Madeni ya nje, wananchi wana wasiwasi wananunua dola kwa wingi kujilinda
Hao wanajua utapeli tuNikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Unaweza kufanikiwa kuchimba mwenyewe jamaa wakayawekea vikwazo mafuta yako usiuze sababu hufuati haki za binadamu unauwa raia hovyo.Nikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Mkuu unawalsumu Nigeria wakati sisi ni copy and paste ya wao tuna vitu vingapi vinatushinda hapa mpaka mwendokasi tu tupo hovyo ndio huko kwenye kuchimba mafuta au madini..Nikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Kama sisi hapa almost contract zote za ujenzi wanachukua wachina, in trillions of money.Nikiiangalia Nigeria, huwa napata tabu Sana, sie watu weusi tuna shida gani? Inaongoza kwa kuzalisha mafutq Africa, lakini yenyewe bidhaa za, mafutq inaangiza kutoka nje! Kisa,haina uwezo, wa kitekinolojia wa, kuchimba yenyewe, ikabidi iwape TOTAL, na BP, na, Shevlon,!
Yaani katika watu 200M, kwa Miaka yote, hawawezi, kununua mitwmbo na tekinolojia ya kuchimba mafuta!?
Nchi kama Iran, Pakistan, India zilipata tekinolojia ya siraha za, nuclear, kwa, figisu figisu, kuiba, kudukua, nk,kwa nini Sisi hatufanyi hivyo kwa tekinolojia muhimu kama ya kuchimba mafuta?
Sio poa mzeeMamaeee naangalia kwenye vyombo vya habari ,hii ni kiama mzee ,halafu si mafuta tu ,ni hadi. Chakula ,chakula chako kikuu Mihogo ,viazi na mchele ,nyama ,bei hazishikiki