Vipi baba wa mtoto hakumegei appleSiku ninawajulisha ndugu zangu kuwa namwoa dada x ambaye amezaa, mamangu aliapa viapo vyote na kulia kikamilifu. Walioniunga mkono ni wadogo zangu wawili wa kiume tu.
Ila leo katika familia nzima, msaada wa haraka na wa dhati ambao mama huutegemea ll the time huwa ni huyu mke wangu. Sijui huwa anajisikiaje wakati alimkataa.
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa huyu mwanamke. Ninampenda na ananipenda.
"Mtalaka hatongozwi" ni hilo tuHivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Naunga mkono hoja labda nionyeshwe kaburi la huyo aliyezaa nae ndipo nitamuoaWengi hufikiri kuoa mwanamke mwenye mtoto ni rahisi kivile sio kabisa.
1. Watoto baada ya 18 yrs bado kama baba utawajibika kuwaendeleza maana ni wa kufikia tena waweza kuwa
Kama ndugu zako hawataki kwa nini hutaki kuwasililiza?,au mitaa unayokaa wasichana ambao hawana watoto wamekwisha?Hallo ndugu zangu
Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu
Ukionq hvyo angalia moyo wako unataka nn? Maana wewe ndo utapambana na hali yako hamna mtu atakusaidia . moyo wako ndo uamue maamuzi ambayo usije ukajutiaDah nime kata tamaa kabisa
Kila nikimcheki demu Uyu . dah na jinsi ushauri Munao nipa na muonea uruma
Maana nipo naye apa ajui nini kinacho ni fanye niwe mnyonge ana fikiri ni majukumu tu kumbe mwenzio nimepigwa na comment za jm mpaka na muona kama nyuki mbele ya macho yangu tu
Na fanya ni kimuona alivyo alafu ni mkimbie si atajitowa duniani Uyu kweli
Mmmmmmm ni makubwa
Hii no 5 nimeilewa haswaWengi hufikiri kuoa mwanamke mwenye mtoto ni rahisi kivile sio kabisa.
1. Watoto baada ya 18 yrs bado kama baba utawajibika kuwaendeleza maana ni wa kufikia tena waweza kuwa babu wakufikia ukicheza.
2. Kuwalea hasa kunidhamu yaweza kuwa tabu kwani watoto wa namna hii huamini kila kitu wanaonewa hata kama unawapa malezi bora.
3. Mgawanyo wa mali ni lazima uwape sawa na wanao wa kuzaa. Pambana kuwekeza ujanani.
4. Watoto huwa na dharau wao kwa wao na ndugu wengine ndani ya familia na kuonekana wanabaguliwa au wanajibagua kwa hiyo jenga utaratibu wa kufamilia mapema.
5. Kuna muda mtajikuta wewe na baba wa huyo mtoto mnalea familia ya wife wako na pia kuingiliana mapenzi hasa watoto wakiitaji kumuona baba yao. Usipokuwa makini unagongewa live.
Ni baadhi ya sababu tu.
Sikushauri.Tafuta mwanamke ambaye hajazaa muanze maisha pamoja.
Hizi kauri siyo za kweli mara zote. Tena wakati mwingine unakuta hawa wazazi wana bifu kali hata kusalimiana hawasalimiani. Inategemea na mazingira mimba imepatikana na sababu zilizowaachanisha.Kama maelezo yake ni kweli mchukue! Ila ujue wanawake ni wajanja, kuna siku watakutana kwa faragha ili kuganga namna ya kumlea mtoto, utakubali?
Wazazi wanahofia mtoto wao atakuwa anagongewa na jamaa aliyemzalisha.Nakushauri usikilize moyo wako lakini pia waulize wazazi wako sababu za kumkataa mwenza wako na wakueleze athari za kuoa single maza pia.
Vale acha kumpa jamaa zigo la misumari![emoji39]Kubwa hapo ni wewe na yeye nyoyo zenu zinavoelewana
Hayo mengine sio kesi
Hahahaaaaaa kweli wewe wa home boyKiufupi unakuwa umeoa mke wa mtu, wazazi wako sio wajinga, ww uliona wapi mwanamke mmoja anaolewa na wanaume wawili?