Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Endelea kuwashawishi wazazi wako huenda wakakuelewa, Mungu akusaidie katika changamoto unayopitia.
 
Yakimkuta yakumkuta pia umshauri hivohivo.
 
So sweet
 
Ukute mpaka sasa mna miaka chini ya 10
 
Ikiwa bado yuko hai baba wa mtoto basi nawe subiri kulea mwanao si kuoa utajutia kosa unalo taka kufanya. Ila moyo wako ndio serikali yako, chagua kuhangaika au kuishi kwa amani.
 
This make sense aise, asome hapa alafu atajua kama anazika au anasafirisha
 
Hakuna madhara yoyote, ni ushamba na ujinga tu wa baadhi ya watu kufikiri mwanamke mwenye mtoto hapaswi kuolewa.
Kama umempa mimba oa wala usiulize, utamwachaje singi maza na watoto wawili!!! Utakuwa umemwongezea mlima wa kupanda bora asingekuwa na mimba yako.
 
Kwa kifupi sio kila single mother sio wife material!

Wengine wapo vizuri tu na wana tabia njema ila kuna aina yetu ya wanaume tunapenda kuzalisha na kulala mbele haijalishi wewe ni wife material ama la!

Huwa hatupendi kubanana muda wote na mwanamke mmoja kama roho! Kwahiyo oweni tu single baby mama wetu hakuna tatizo [emoji28] tutakuwa tu tunasaidiana polepole.
 
Kwa maoni yangu,Anayeoa ni wewe siyo wazazi wako! Maadamu umefanya utafiti na kujiridhisha kuwa alipewa mimba lakini hakuolewa huyo hana shida! Kuhusu kwenda kulipa mahari unaweza kuchukua hata Rafiki yako akaenda kutoa mahari.

Unachopaswa kuzingatia,maadamu ana mtoto ambaye hukumzaa wewe,usije kumchukia mtoto au kutomjali! FAHAMU KABISA UCHUNGU WA MWANA ANAUJUA MAMA! Hata kama Mkeo anakupenda kiasi gani HUWEZI KUMTENGA NA MWANA ALIYEMZAA!
 
Pole sana... Follow your heart and carry your brain with you...
 
Hallo ndugu zangu

Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu


Au ni sikie ushauri Wa wazazi na mimi ni achana naye?
Nawe hamia burundi, yani mwanamke anabeba mimba kabla hata kwenu hujamtambulisha.....hapo kuna shida
 
Na utajisikiaje ndoa yake ikajawa na upendo wa hali ya juu, baraka na mafanikio kama ndoa ya mkuu Lihakanga?
Love is all about intensive feelings of caring over your partner mengine yanafuatia nyuma kijana.
Ashindwe kua na love kwa aliyemzalisha aje kua na love kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…