Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

yeap na kila mara nasema ya kwamba kuna nguvu za ziada ambazo kuna watu utumia hili kufanikisha jambo fulani.

Wao wana kaa na shetan anawapa maelekezo namna ya kufanya na ambao ufuatisha ndio upata mafanikio na chakuonhezea tu ni kwamba hata biblia inaeleza kabisa kwenye kitabu cha agano jipya kwamba dunia na ulimwengu ni miliki ya shetani [emoji12] na ndio maana uipamba ipendeze kupitia watu wake. na ndio maana MWENYEZI MUNGU akakataza kujisumbua sana kutafuta mali za dunia (miliki ya kishetani) bali tuutafute ufalme wa mbingu (miliki yake)

Hii mada ni funga kazi asante mshana jr.
 
Ila sijajua hapo mtego wao uko wapi?
Watatumia mechanism gani kukutapeli maana hii mada inahusu mambo ya nchi
Yaan watu kama nyie ndo mnaotapeliwaa..kama kwa hilo bandiko bado hujalichambua kwa kina bas ww n rahis sana kukutapeli. Pole sana kwa kuwaamnin hawa waongo waongo na kujitaftia umaarufu humu.
 
Kama hujui kitu tulia uulize upate ufahamu wa kukufumbua akili uyafahamu yaliyo ya kiroho
Poa kaka nimetulia. Ila angalizo usije kukimbia maswali na kama swali nitakalo kuuloza hulijui bora useme hujui na usitoe udhuru.

Nakuuliza maswali haya :

1. Taifa gani unalolikusudia wewe,mpaka ukafikia hatua ya kukata kabisa ya kuwa hakuna taifa lililo simama nje ya njia hizo ?

2. Unakubali kama mitume walikuwa viongozi na watawala ? Mitume walisimamisha dola bali wapo ambao walikuwa ni wafalme walio watawala majini na watu na viumbe wengine hapa namkusudia Suleyman ?

Nimeanza na hayo mawili kwanza.
 
Yaan watu kama nyie ndo mnaotapeliwaa..kama kwa hilo bandiko bado hujalichambua kwa kina bas ww n rahis sana kukutapeli. Pole sana kwa kuwaamnin hawa waongo waongo na kujitaftia umaarufu humu.
Wewe kama unaogopa kutapeliwa kupitia nyuzi unaonyesha udhaifu wa hali ya juu.
Ni uzembe wa kiwango cha juu kuibiwa kupitia maneno au nyuzi.
Mimi ili uniibie inabidi muje watu wanne wenye silaha kisha mnikabe hapo mtaipata pesa yangu.
Sasa wewe mtoto wa kiume unaogopa utapigwa maneno ili utapeliwe.
 
Asante luchelele mzunguko [emoji1545][emoji1752]
 
Sijui
 
Sababu umeandika ukweli ya kuwa hujui japokuwa unadhani ya kuwa unajua.

Ukweli unabaki pale pale ya kuwa ulichokiandika katika mada hii kina uongo mwingi kuliko ukweli.

Hii ni changamoto kubwa sana tunayo kutana nayo ya kuwa na watu wengi kujiona wanajua lakini hawajui na hawajui kama wao hawajui. Hawa huwekwa katika kundi la KUPUUZWA.

Labda kwenye mengine sababu hakuna anaye jua kila kitu,ila katika hili la UCHAWI na USHIRIKINA nina jua hakika yake ambayo wewe hujui.

Shukrani sana.
 
Azazel wakati anatupwa duniani kwa kiburi chake kabla hajatua duniani alitamka haya; NAKWENDA KUKALIA AMALI ZOTE ZA DUNIA MADINI YOTE MALI ZOTE NA FAHARI ZOTE ZA DUNIA . haya mamali mi huwa nayaangalia tu lakini ili uzipate kirahisi onana na aliyezikalia kwa ujira wa damu ya nduguyo ili utajirike kupindukia na uwastaajabishe binadamu wenzio,
 
Mungu aliumba Dunia akampa shetani aimiliki.
Hii nadharia uleta shaka Sana.
Mfano Mungu kaweka madini ardhini lakini huwezi yapata bila ruhusa ya shetani kupitia wakala wake dunia.
Hii uleta shaka je shetani na Mungu ni kitu kimoja.
 
kuhusu mfalme suleman kwanza kabisa utambue kuna mambo biblia imeyaficha aijayaweka wazi yakupasa msomaji uwe na fikra pana unapoisoma hili uielewe yakuhitaji pia uwe nje ya boksi.

Na utambue kabisa kwenye hivi vitabu kuna mkanganyiko mkubwa wa mambo lakini kama uakua mtu mwenye fikra pana karibu tueleweshane naamini tutafikia muafaka.
 
Kwa yanayotendeka hatuna budi kuamini ni kweli yaliyoandikwa.
 
mataifa yapo mengi. moja wapo ni china
Yeyote anaye sema ya kuwa hakuna Taifa lililo simama nje ya njia alizo zitaja mtoa mada,bila shaka mtoa mada haujui Uchawi wala Ushirikina ni nini. Wewe kama unabisha muulize tu mtoa mada uchawi ni nini na ushirikina ni nini ? Akipatia katika majibu ya maswali haya mimi naacha kuchangia katika hii mada.

Mtoa mada nimemtolea mifano miwili mmoja wa nabii Suleyman na mwingine mfano wa nchi ya Saudia. Akanisihi nitulie badala yake niulize swali. Sababu ninakijua ninacho kiongelea nikampa sharti,sharti ambalo kiukweli ni zito kwake,akajibu hajui juu ya kile ambacho alinisihi kwamba niulize.
 
Ukianza kuleta inshu za kidini humu utakua huelewi maana ya hii thread..leo tuaangalia jicho la kiroho hasa matambiko.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…