Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #241
Ukweli unabaki pale pale ya kuwa ulichokiandika katika mada hii kina uongo mwingi kuliko ukweli.[emoji848]Sababu umeandika ukweli ya kuwa hujui japokuwa unadhani ya kuwa unajua.
Ukweli unabaki pale pale ya kuwa ulichokiandika katika mada hii kina uongo mwingi kuliko ukweli.
Hii ni changamoto kubwa sana tunayo kutana nayo ya kuwa na watu wengi kujiona wanajua lakini hawajui na hawajui kama wao hawajui. Hawa huwekwa katika kundi la KUPUUZWA.
Labda kwenye mengine sababu hakuna anaye jua kila kitu,ila katika hili la UCHAWI na USHIRIKINA nina jua hakika yake ambayo wewe hujui.
Shukrani sana.
Uongo ninini? Ukweli ninini?
Ninini kipimo cha uongo au ukweli? Unawezaje kutambua asimilia za uongo ama ukweli?
Ukweli ni nadharia mnyumbuliko..haiko thabiti..kwa kukusaidia tu jali zaidi uhalisia kwakuwa hii dhana ni thabiti...!
Nilichoandika ni halisi na ni thabiti..! Ila sikulazimishi ukubaliane nami
Nimechagua kukujibu SIJUI kwakuwa ulinipa uchaguzi.. Naona kilichofuata ni majisifu na vijembe.. Labda nilitegemea uniulize KWANINI?