Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
... na adimu!Wee mjamaa [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752]una kitu cha ziada kutuzidi wengi sana..hasa kumbukumbu na mtiririko wake.. Umechambua kwa takwimu na kwa mtiririko mzuri mno.... Hakika JF ina vipawa na bongo zilizobeba madini adhimu
Ni Kama tulivyo pikwa sisi enzi hizoooo Hadi leo hiii tunaelewa UMUHIMU wa MAMATANZANIA lakini SI kwa kizazi chetu.Taifa letu linatakiwa kupiga watu tangia shule za awali hadi chuo kikuu. Vijana walioiva uzalendo na walio shibishwa na kushiba sababu za kwanini ni jukumu lao kuhakikisha Taifa hili linapaa katika anga za ndani na nje ya mipaka yetu.
Project hii ni ya miaka 17 hadi ishirini kisha tunaweza kuthubutu kusema nasi tuna watu wazalendo.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Mimi kwenye hili naomba nilete mtizamo tofauti kidogo-Taifa letu linatakiwa kupiga watu tangia shule za awali hadi chuo kikuu. Vijana walioiva uzalendo na walio shibishwa na kushiba sababu za kwanini ni jukumu lao kuhakikisha Taifa hili linapaa katika anga za ndani na nje ya mipaka yetu.
Project hii ni ya miaka 17 hadi ishirini kisha tunaweza kuthubutu kusema nasi tuna watu wazalendo.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Halafu ni Serikali hii ya CCM inayotuambia sisi wananchi tunaohoji kuhusu tozo tuamie bujumbura ndo watufundishe somo la uzalendo?,Labda siyo mimi kwa kweli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee
Mkuu hali ni tete sana,Magufuli alishaharibu uchumi na angeendelea kwa miaka mingine mitano,Tanzania lazima inge collapse.Ukiwasikiliza serikali wanakwambia uchumi unakuwa kwa kiwango cha 4.7% lakini ukipitia report ya IMF,tathmini yao inasema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 1%.Meko alikopa fedha nyingi sana kwenye taasisi za kifedha za ndani na kimataifa kwa kufanya forgery kubwa za masuala ya kiuchumi na wakafanikiwa kupewa hela,sasa changamoto imebaki kwenye marejesho ya mikopo ambayo serikali lazima ilipe na hapa ndo panapowatoa jasho kweli kweli ndiyo maana wanakuja na matozo yasiyoeleweka ili kufanya marejesho ambayo hayaendani na uhalisia wa kiuchumi,kiufupi wanaumbuka.Mimi nikimwangalia huyu mama na mambo anayoyafanya naona kabisa anazungukwa na wasaidizi mizigo kabisa-Example,Hawa wakina Gwajima na Madilu system huwa wanaweza kumshauri nn cha maana zaid ya ujinga? Uchumi ambao unasinyaa hauwi-stimulated kwa kupandisha matozo yasiyoeleweka bali inahitaji maamuz smart ambayo yatamfanya mwananchi apate fedha ili uwezo wake wa kufanya manunuzi uongezeke na hivyo kukuza uchumi na mzunguko wa fedha nk.Binafsi nakuhakikishia 100% serikali haijapata hata 10B kwenye hz tozo mpya-Ni usanii tu wanaofanya,na kwa mtu mwenye uelewa na kuona mbali anajua kabisa serikali imeshaanza kupata trouble na miamala hvyo inajinasibu hvyo kwamba imefanikiwa ili ikifanya u-turn ghafla isionekane imeshindwa utekelezaji-Serikali hawana ujanja kwenye hili,lazima wapige reverse watake wasitake.Unakumbuka wakati wa Magufuli serikali kupitiaTRA ilivyokuwa inajinasibu inakusanya sana mapato kwenye vyombo vya habari,report ziliishia wapi??Uchumi haudanganyi kamwe,marejesho yanawaumbua 🤣 🤣 .Hapa mwishoni Magufuli alikuwa ameshaanza kupiga kelele za kuomba mataifa makubwa iisamehe Tanzania madeni kwa sababu alikuwa ameshaanza kuona heat manake kushindwa kulipa madeni tunayodaiwa kuna implications zake-na zote siyo nzuri.Yanayoendelea ni recipe ya Tanzania kuelekea kwenye demokrasia-Manake CCM ni very powerless now,hawana hela wala capacity ya ku-manage nchi tena.
Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Halafu ni Serikali hii ya CCM inayotuambia sisi wananchi tunaohoji kuhusu tozo tuamie bujumbura ndo watufundishe somo la uzalendo?,Labda siyo mimi kwa kweli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee
Mkuu hali ni tete sana,Magufuli alishaharibu uchumi na angeendelea kwa miaka mingine mitano,Tanzania lazima inge collapse.Ukiwasikiliza serikali wanakwambia uchumi unakuwa kwa kiwango cha 4.7% lakini ukipitia report ya IMF,tathmini yao inasema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 1%.Meko alikopa fedha nyingi sana kwenye taasisi za kifedha za ndani na kimataifa kwa kufanya forgery kubwa za masuala ya kiuchumi na wakafanikiwa kupewa hela,sasa changamoto imebaki kwenye marejesho ya mikopo ambayo serikali lazima ilipe na hapa ndo panapowatoa jasho kweli kweli ndiyo maana wanakuja na matozo yasiyoeleweka ili kufanya marejesho ambayo hayaendani na uhalisia wa kiuchumi,kiufupi wanaumbuka.Mimi nikimwangalia huyu mama na mambo anayoyafanya naona kabisa anazungukwa na wasaidizi mizigo kabisa-Example,Hawa wakina Gwajima na Madilu system huwa wanaweza kumshauri nn cha maana zaid ya ujinga? Uchumi ambao unasinyaa hauwi-stimulated kwa kupandisha matozo yasiyoeleweka bali inahitaji maamuz smart ambayo yatamfanya mwananchi apate fedha ili uwezo wake wa kufanya manunuzi uongezeke na hivyo kukuza uchumi na mzunguko wa fedha nk.Binafsi nakuhakikishia 100% serikali haijapata hata 10B kwenye hz tozo mpya-Ni usanii tu wanaofanya,na kwa mtu mwenye uelewa na kuona mbali anajua kabisa serikali imeshaanza kupata trouble na miamala hvyo inajinasibu hvyo kwamba imefanikiwa ili ikifanya u-turn ghafla isionekane imeshindwa utekelezaji-Serikali hawana ujanja kwenye hili,lazima wapige reverse watake wasitake.Unakumbuka wakati wa Magufuli serikali kupitiaTRA ilivyokuwa inajinasibu inakusanya sana mapato kwenye vyombo vya habari,report ziliishia wapi??Uchumi haudanganyi kamwe,marejesho yanawaumbua [emoji1787] [emoji1787] .Hapa mwishoni Magufuli alikuwa ameshaanza kupiga kelele za kuomba mataifa makubwa iisamehe Tanzania madeni kwa sababu alikuwa ameshaanza kuona heat manake kushindwa kulipa madeni tunayodaiwa kuna implications zake-na zote siyo nzuri.Yanayoendelea ni recipe ya Tanzania kuelekea kwenye demokrasia-Manake CCM ni very powerless now,hawana hela wala capacity ya ku-manage nchi tena.
Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake? This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy. I’m at a loss for words! Tanzania's President criticized for calling soccer women 'flat-chests' Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come...www.jamiiforums.com
Nina mada yake subiri..sikuandika mengi ila kupitia replies utapata kituMshana mm nataka historia ya ile fimbo ya mwalimu mchonga na je alizikwa nayo?
LIKUD [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]ni nani huyo? Na alitishwa na akina nani? Am anxious to know!Ukitaka kuwaudhi wenye inji yao just talk abt kafara Lindi. Kuna kiongozi fulani wa sink mwaka 2013 alitaka kulizungumzia hilo akafuatwa a ka ambiwa Kama anataka kufa basi ajaribu kulizungumzia yani ajifanye Kama anajikuna vile
LIKUD [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]ni nani huyo? Na alitishwa na akina nani? Am anxious to know!Ukitaka kuwaudhi wenye inji yao just talk abt kafara Lindi. Kuna kiongozi fulani wa sink mwaka 2013 alitaka kulizungumzia hilo akafuatwa a ka ambiwa Kama anataka kufa basi ajaribu kulizungumzia yani ajifanye Kama anajikuna vile
LIKUD [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]ni nani huyo? Na alitishwa na akina nani? Am anxious to know!Ukitaka kuwaudhi wenye inji yao just talk abt kafara Lindi. Kuna kiongozi fulani wa sink mwaka 2013 alitaka kulizungumzia hilo akafuatwa a ka ambiwa Kama anataka kufa basi ajaribu kulizungumzia yani ajifanye Kama anajikuna vile
Hivi UVIKO-19 haipo?Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi