Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Wee mjamaa [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752]una kitu cha ziada kutuzidi wengi sana..hasa kumbukumbu na mtiririko wake.. Umechambua kwa takwimu na kwa mtiririko mzuri mno.... Hakika JF ina vipawa na bongo zilizobeba madini adhimu
... na adimu!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Taifa letu linatakiwa kupiga watu tangia shule za awali hadi chuo kikuu. Vijana walioiva uzalendo na walio shibishwa na kushiba sababu za kwanini ni jukumu lao kuhakikisha Taifa hili linapaa katika anga za ndani na nje ya mipaka yetu.

Project hii ni ya miaka 17 hadi ishirini kisha tunaweza kuthubutu kusema nasi tuna watu wazalendo.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Ni Kama tulivyo pikwa sisi enzi hizoooo Hadi leo hiii tunaelewa UMUHIMU wa MAMATANZANIA lakini SI kwa kizazi chetu.
 
Taifa letu linatakiwa kupiga watu tangia shule za awali hadi chuo kikuu. Vijana walioiva uzalendo na walio shibishwa na kushiba sababu za kwanini ni jukumu lao kuhakikisha Taifa hili linapaa katika anga za ndani na nje ya mipaka yetu.

Project hii ni ya miaka 17 hadi ishirini kisha tunaweza kuthubutu kusema nasi tuna watu wazalendo.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Mimi kwenye hili naomba nilete mtizamo tofauti kidogo-
Elimu ya uzalendo mara nyingi hufundishwa sana hasa kwenye nchi zinazofuata milengo ya kikomunisti kama China,North Korea nk.Lengo la elimu hii hasa ni ku-brainwash mawazo ya wananchi yao kuweza kusahau domestic failures za serikali yao kwa ku-focus mawazo yao kupambana na mataifa mengine ambayo wananchi wameaminishwa ni external enemies.Kwa tunaokumbuka,elimu hii ya Uzalendo iliwahi kufundishwa nchini wakati wa Nyerere kipindi tunafata sera za ujamaa kamili like their fellow brothers in China ingawa later ulishindikana.

Uzalendo unaodumu ni ule ambao huwa unakuja naturally hasa kutokana na jinsi serikali au nchi zao zinavyowatendea wananchi wao vyema-Mfano-US hakuna somo la uzalendo lakini wananchi wao wanaipenda na kuiamin serikali yao kwa sehemu kubwa kwenye maisha yao ya kila siku,Mmarekan yeyote anaamin akipata shida sehemu yoyote duniani serikali yake haiwezi kumwacha nyuma kwa sababu mwananchi anathaminika.Aina hii ya ubepari ni sustainable.

Uzalendo wa China wanaofundishwa darasani kwa lazima hauwezi kuwa sustainable sababu siku wananchi wa china wakipata access ya information na kuielewa vyema serikali yao na matendo yake ya hovyo-Uzalendo utakufa ghafla,That's why china haruhusu wananchi wake kuweza kupata taarifa sahihi na kwa wakati sahihi-wao wanachojua ni taarifa njema juu ya serikali yao.Na huku china ndo CCM hupenda kwenda kujifunza mambo haya yaliyopitwa na wakati.

Tanzania hata wafundishe uzalendo miaka 1000,matokeo hayawezi kuwa tofauti na ya wakati wa nyerere-Kilichoua sense ya utaifa ni mambo ya hovyo yaliyofanywa na CCM na wananchi kuyajua waziwazi ikiwemo ubadhirifu,watu kupotea,chaguzi zisizo na haki,wenye nguvu kupewa sauti,viongozi kuongoza pasipo maono na mambo chungu nzima.Changamoto kubwa inayoitesa CCM na inayoendelea kuitesa mpaka leo ni kwamba wananchi wa nchi hii wana access na taarifa kupitia vyanzo tofauti tofauti.Uwezo wa watu kutambua mambo umeongezeka mno ndiyo maana hata MEKO na chama chake walikuwa wanajaribu kwa kadri iwezekanavyo kuwanyima watu uwezo wa kupata taarifa mbadala ikawa too late na wakashindwa pabaya na technology ambayo watu walishaijua mapema.Uzalendo unapaswa kukua naturally.
 
Halafu ni Serikali hii ya CCM inayotuambia sisi wananchi tunaohoji kuhusu tozo tuamie bujumbura ndo watufundishe somo la uzalendo?,Labda siyo mimi kwa kweli 🤣 🤣 🤣 ,Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee
 
Halafu ni Serikali hii ya CCM inayotuambia sisi wananchi tunaohoji kuhusu tozo tuamie bujumbura ndo watufundishe somo la uzalendo?,Labda siyo mimi kwa kweli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee
JamiiForums1886621735.jpg
 
Mkuu hali ni tete sana,Magufuli alishaharibu uchumi na angeendelea kwa miaka mingine mitano,Tanzania lazima inge collapse.Ukiwasikiliza serikali wanakwambia uchumi unakuwa kwa kiwango cha 4.7% lakini ukipitia report ya IMF,tathmini yao inasema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 1%.Meko alikopa fedha nyingi sana kwenye taasisi za kifedha za ndani na kimataifa kwa kufanya forgery kubwa za masuala ya kiuchumi na wakafanikiwa kupewa hela,sasa changamoto imebaki kwenye marejesho ya mikopo ambayo serikali lazima ilipe na hapa ndo panapowatoa jasho kweli kweli ndiyo maana wanakuja na matozo yasiyoeleweka ili kufanya marejesho ambayo hayaendani na uhalisia wa kiuchumi,kiufupi wanaumbuka.Mimi nikimwangalia huyu mama na mambo anayoyafanya naona kabisa anazungukwa na wasaidizi mizigo kabisa-Example,Hawa wakina Gwajima na Madilu system huwa wanaweza kumshauri nn cha maana zaid ya ujinga? Uchumi ambao unasinyaa hauwi-stimulated kwa kupandisha matozo yasiyoeleweka bali inahitaji maamuz smart ambayo yatamfanya mwananchi apate fedha ili uwezo wake wa kufanya manunuzi uongezeke na hivyo kukuza uchumi na mzunguko wa fedha nk.Binafsi nakuhakikishia 100% serikali haijapata hata 10B kwenye hz tozo mpya-Ni usanii tu wanaofanya,na kwa mtu mwenye uelewa na kuona mbali anajua kabisa serikali imeshaanza kupata trouble na miamala hvyo inajinasibu hvyo kwamba imefanikiwa ili ikifanya u-turn ghafla isionekane imeshindwa utekelezaji-Serikali hawana ujanja kwenye hili,lazima wapige reverse watake wasitake.Unakumbuka wakati wa Magufuli serikali kupitiaTRA ilivyokuwa inajinasibu inakusanya sana mapato kwenye vyombo vya habari,report ziliishia wapi??Uchumi haudanganyi kamwe,marejesho yanawaumbua 🤣 🤣 .Hapa mwishoni Magufuli alikuwa ameshaanza kupiga kelele za kuomba mataifa makubwa iisamehe Tanzania madeni kwa sababu alikuwa ameshaanza kuona heat manake kushindwa kulipa madeni tunayodaiwa kuna implications zake-na zote siyo nzuri.Yanayoendelea ni recipe ya Tanzania kuelekea kwenye demokrasia-Manake CCM ni very powerless now,hawana hela wala capacity ya ku-manage nchi tena.
 
Halafu ni Serikali hii ya CCM inayotuambia sisi wananchi tunaohoji kuhusu tozo tuamie bujumbura ndo watufundishe somo la uzalendo?,Labda siyo mimi kwa kweli [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee

Mkuu hali ni tete sana,Magufuli alishaharibu uchumi na angeendelea kwa miaka mingine mitano,Tanzania lazima inge collapse.Ukiwasikiliza serikali wanakwambia uchumi unakuwa kwa kiwango cha 4.7% lakini ukipitia report ya IMF,tathmini yao inasema uchumi wa Tanzania unakuwa kwa 1%.Meko alikopa fedha nyingi sana kwenye taasisi za kifedha za ndani na kimataifa kwa kufanya forgery kubwa za masuala ya kiuchumi na wakafanikiwa kupewa hela,sasa changamoto imebaki kwenye marejesho ya mikopo ambayo serikali lazima ilipe na hapa ndo panapowatoa jasho kweli kweli ndiyo maana wanakuja na matozo yasiyoeleweka ili kufanya marejesho ambayo hayaendani na uhalisia wa kiuchumi,kiufupi wanaumbuka.Mimi nikimwangalia huyu mama na mambo anayoyafanya naona kabisa anazungukwa na wasaidizi mizigo kabisa-Example,Hawa wakina Gwajima na Madilu system huwa wanaweza kumshauri nn cha maana zaid ya ujinga? Uchumi ambao unasinyaa hauwi-stimulated kwa kupandisha matozo yasiyoeleweka bali inahitaji maamuz smart ambayo yatamfanya mwananchi apate fedha ili uwezo wake wa kufanya manunuzi uongezeke na hivyo kukuza uchumi na mzunguko wa fedha nk.Binafsi nakuhakikishia 100% serikali haijapata hata 10B kwenye hz tozo mpya-Ni usanii tu wanaofanya,na kwa mtu mwenye uelewa na kuona mbali anajua kabisa serikali imeshaanza kupata trouble na miamala hvyo inajinasibu hvyo kwamba imefanikiwa ili ikifanya u-turn ghafla isionekane imeshindwa utekelezaji-Serikali hawana ujanja kwenye hili,lazima wapige reverse watake wasitake.Unakumbuka wakati wa Magufuli serikali kupitiaTRA ilivyokuwa inajinasibu inakusanya sana mapato kwenye vyombo vya habari,report ziliishia wapi??Uchumi haudanganyi kamwe,marejesho yanawaumbua [emoji1787] [emoji1787] .Hapa mwishoni Magufuli alikuwa ameshaanza kupiga kelele za kuomba mataifa makubwa iisamehe Tanzania madeni kwa sababu alikuwa ameshaanza kuona heat manake kushindwa kulipa madeni tunayodaiwa kuna implications zake-na zote siyo nzuri.Yanayoendelea ni recipe ya Tanzania kuelekea kwenye demokrasia-Manake CCM ni very powerless now,hawana hela wala capacity ya ku-manage nchi tena.
Serikali hii ambayo waziri anachoma hela ya walipa kodi analeta dawa ya Corona nchini na kutwambia "dawa hii kule madagascar inatolewa na Rais pekeyake" ? Serikali hii inayotuambia siku ina masaa 48? Serikali hii inayotuambia sisi ni matajiri duniani na hatutakopa? Hapana aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mshana mm nataka historia ya ile fimbo ya mwalimu mchonga na je alizikwa nayo?
 
Mshana mm nataka historia ya ile fimbo ya mwalimu mchonga na je alizikwa nayo?
Nina mada yake subiri..sikuandika mengi ila kupitia replies utapata kitu

Ukitaka kuwaudhi wenye inji yao just talk abt kafara la Lindi. Kuna kiongozi fulani wa dini mwaka 2013 alitaka kulizungumzia hilo akafuatwa a ka ambiwa Kama anataka kufa basi ajaribu kulizungumzia yani ajifanye Kama anajikuna vile
 
Ukitaka kuwaudhi wenye inji yao just talk abt kafara Lindi. Kuna kiongozi fulani wa sink mwaka 2013 alitaka kulizungumzia hilo akafuatwa a ka ambiwa Kama anataka kufa basi ajaribu kulizungumzia yani ajifanye Kama anajikuna vile
LIKUD [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]ni nani huyo? Na alitishwa na akina nani? Am anxious to know!
 
Back
Top Bottom