Kweli angalia wote Rashid Mfaume Kawawa,Joseph Sinde Warioba, Edward Moringe Sokoine,David Cleopa Msuya,John Malechela,Salim Ahmed Salim,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Peter Pinda Hadi Majaliwa Kassim Majaliwa. Hawa hawakuwahi hata huyu wa sasa yaani ni mwiko wale jamaa walishafunga hiki kitu.Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2827][emoji2827]
Sio hata mganga wala mchawi mzee hebu tulia.Huyo mchawi wa diamond anapatikana wapi?
Watu hawajamgundua waende kupanga foleni kwake?
Kumbe ni nani?watu wanataka kumjua watoboeSio hata mganga wala mchawi mzee hebu tulia.
Fanya utafiti utajua hakuna hata Siri vitu vyote vipo on plain site.Kumbe ni nani?watu wanataka kumjua watoboe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watu wanataka kumiliki Ros Royce mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ni ukweli mtupu na hii pini kwa vyovyote aliipiga mchonga mwenyewe na kafara la Lindi hapa linahusika parcee[emoji848][emoji2827][emoji2984]Kweli angalia wote Rashid Mfaume Kawawa,Joseph Sinde Warioba, Edward Moringe Sokoine,David Cleopa Msuya,John Malechela,Salim Ahmed Salim,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Peter Pinda Hadi Majaliwa Kassim Majaliwa. Hawa hawakuwahi hata huyu wa sasa yaani ni mwiko wale jamaa walishafunga hiki kitu.
Hajapiga mchonga ni wale Wazee wenye chama chao na ni kabla ya 1990 Lindi na tukumbuke Wana mazindiko madogo madogo mara kwa maraYeah ni ukweli mtupu na hii pini kwa vyovyote aliipiga mchonga mwenyewe na kafara la Lindi hapa linahusika parcee[emoji848][emoji2827][emoji2984]
Yes ni Standard pia.Huko mbali sana ukipata tu za tiketi ya kuazia maisha tosha kabisa na walau uwe na uwezo wa kumiliki BMW X5
Hapo ni wale makadinali Roma Italian huko wanapojifungia kumpata Papa mpya yeyote kwenye conclave.Kura zinapigwa kwa makaratasi na aliyeshinda wanachoma moto zile kura huku wakiangalia moshi unavyoelekea hapo inawasaidia kujua nani mshindi .Hivyo tu.Naomba kama kuna anaejua, zindiko la moshi wakati Baba Mtakatifu anavyochaguliwa.
La Lindi umeambiwa halijulikaniLa Lindi hujalidadafua mkuu tulijue kidogo
Jitihada nyingi zinafanyika za maombi ya kukomboa Taifa ,tukumbuke hawakufanya mazindiko ya taifa Bure Bure Kuna kafara kubwa zilifanywa.Hivyo ili kuliokoa Taifa inabidi sadaka zitolewe pia na rehema ya Mungu itufunike.Hapa pazito... Hakuna namna ya kuliangamiza hilo zindiko ili tuanze upya? Wananchi tuna teseka jamani na makosa ya wachache
Linajulikana kama nilivyojaribu kulielezea tena Hadi eneo la hicho kijiji ila as hatujashiriki hatujui undani sana.La Lindi umeambiwa halijulikani
Hahah, mwambie jirani aache uhalifu kabla haujamripoti kwa Kamanda SiroHivi huyo mkuu wa anga ni nani? Hapa kuna jirani yangu kila akisali anasema ANAMTEKA MKUU WA ANGA. Yaani leo anamteka, kesho anamteka tena wala hatusikii lini huyo mkuu wa anga amekimbia mateka
Hii ndio ile ya moshi mweupe Dive ?Hapo ni wale makadinali Roma Italian huko wanapojifungia kumpata Papa mpya yeyote kwenye conclave.Kura zinapigwa kwa makaratasi na aliyeshinda wanachoma moto zile kura huku wakiangalia moshi unavyoelekea hapo inawasaidia kujua nani mshindi .Hivyo tu.