Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Chama cha kichawi kilimpelekesha JK Nyerere mno na mawaziri wakuu walipigwa pini kuwa Marais au umeona Waziri mkuu Alishinda urais?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2827][emoji2827]
ULITAKA LOWASSA AWE RAIS KUPITIA CHADEMA? . AU.. SI MPAKA APITISHWE NA KAMATI KUU PAMOJA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA CCM. KAMA HAJAPITISHWA JINA LAKE ATAWEZAJE KUGOMBEA
 
Kwahiyo mkuu ukiwa mtu wa maombi kupenya kwenye uongozi ni ngumu au unaweza?mana haya matambiko si yatakua yanataka watu wa dizaini fulanifulani
 
kwa hiyo pia 1990 JK NYERERE pia alihusika kama mlivyodai Bagamoyo. Mbona hiyo ni ngonjera sasa
 
Lengo lilikuwa nchi itawalike kirahisi, uongo wa shetani eti nchi ingestawi
Vp kuhusu bungeni nasikia kuna zindiko moja kubwa lilifanywa pale wanapowekea lile chuma kwa mbwembwe ili waliomo ufahamu uwatoke
 
Kwenu ndipo masikini kuliko pote nchini na ndipo penye watu wenye low IQ kuliko wote nchini japo kuna utajiri wa raslimali tele,chanzo ni kafara la kuitambikia nchi 1992.
Aisee kalonji , Dive Kanifafanulia vizuri kuhusu kafara la Lindi...nimepata picha kamili sasa
 
Nchi za kijamaa kwa ujumla wake naona zina shida. Mtu akiishakuwa kiongozi anaona wengine woote hamnazo. viongozi wote ni wakatili. Imagine mtu anawaambia mhamie Burundi

Imagine mtu hataki kusikiliza wananchi wake
Nchi zote duniani zilizofuata socialism ni makatili wa kutupwa, eg china [emoji630] russia [emoji635] czech, Bulgaria [emoji1058],
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…