Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Kwa maana yenye kujitosheleza kuhusu uongo, uongo ni kinyume cha ukweli,na ukweli ni kauli au kitendo kuafikiana na hali halisi.

Kipimo cha uongo na ukweli uzani wake ni HALI HALISI,yaani vyote hurejea huko,kwenye hali halisi kuna elimu na maarifa. Leo hii utabaki kuwa muongo unapo dai ya kuwa hakuna taifa lililo simama nje ya njia hizo ulizo zitaja huku uhalisia ukiwa dhidi yako.

Mimi tangu na balehe najifunza mambo ya ushirikina na uchawi na namna ya kuyaeupuka na najifunza elimu ya kumpwekesha Mola wangu,na hizi elimu naendelea kuzisoma mpaka pale nitakapo rejea kwa Mola wangu.

Asilimia za uongo na ukweli nazijua kwa kurejea uhalisia ambao uko.
Unajaribu kujibu kwa kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja mwisho unaishia kukosa jibu sahihi

Hakuna kipimo cha uongo wala hakuna kipimo cha ukweli kwakuwa hizi ni dhana na si yabisi
Ukiwa muongo ni muongo tuu...na ukiwa mkweli ni mkweli tu..lakini si mambo yote utakuwa muongo na si mambo yote utakuwa mkweli .. Kila jambo moja linajitegemea uongo ama ukweli Wake! Hivyo usije ukajichanganya hapa

Kuhusu ukweli na uhalisia hapa ndio umepotea kabisa
Ukweli hubadilika lakini uhalisia hubaki vilevile.. Ukweli kwangu unaweza kuwa uongo kwako kama unavyoni brand kwenye hii mada..lakini je ndio uhalisia? Jibu ni moja tuu HAPANA
 
Ukweli si nadharia wala si dhana,japokuwa katika elimu ya kuhoji kuna kitu kinaitwa "Dhana ya hakika (Dhana ghaalib) yaani dhana iliyo kadiriwa kwa kuzidi asilimia hamsini na ina hukumu jambo"

Usijokujiua ni kuwa Uhalisia ndiyo ukweli wenyewe,usiongozwe na fikra finyu za wanafalsa ambao hudai ya kuwa kuna ukweli muhimili na kuna ukweli unavyo jitokeza kwa watu,mgawanyo huu unaondoa uhalisia,uhalisia ambao kiuhalisia hauondolewi kwa chocbote.

Ulicho kiandika si halisi na si thabiti mpaka pale utakapo vunja hoja zangu. Hili naweza kulithibitisha ila wewe nina uhakika hali wa shani huwezi kuthibitisha ukweli wa ulichokiandika mpaka unakufa. Nasema tena mpaka unakufa.
Brother rudi shule tafadhali ukweli kamwe hauwezi kuwa uhalisia! Na unaanzaje kubisha kuwa si nadharia? Duh!
 
Mungu aliumba Dunia akampa shetani aimiliki.
Hii nadharia uleta shaka Sana.
Mfano Mungu kaweka madini ardhini lakini huwezi yapata bila ruhusa ya shetani kupitia wakala wake dunia.
Hii uleta shaka je shetani na Mungu ni kitu kimoja.
hizi nadharia zimetoka kwenye yale maandiko wanahita vitabu vitakatifu.
 
Unajaribu kujibu kwa kuchanganya mambo mengi kwa wakati
Katika elimu ya ukosoaji na mijadala. Tunashauriwa sana kusoma kile alichokiandika aliye dhidi yako kabla hujajibu hoja.

Natoka kwenye mjadala naingia katika kukufundisha sababu hili ndiyo stahiki kwako.
kukosa jibu
Ili uonyeshe ya kuwa nimekosa jibu unatakiwa ukosoe nilicho kiandika kinyume na hapo unaonyesha udhaifu na uchachefu wa maarifa juu ya kadhia hii.
Hakuna kipimo cha uongo wala hakuna kipimo cha ukweli kwakuwa hizi ni dhana na si yabisi
Ukiwa muongo ni muongo tuu...na ukiwa mkweli ni mkweli tu..lakini si mambo yote utakuwa muongo na si mambo yote utakuwa mkweli .. Kila jambo moja linajitegemea uongo ama ukweli Wake! Hivyo usije ukajichanganya hapa
Huu ni uongo ulio pea hata mtoto mwenye balehe mbichi atakupinga.

Hapa nimecheka kidogo. Uongo si dhana wala ukweli si dhana,vingekuwa viwili hivi ni dhana leo hii tusingeshughulika na kuutafuta ukweli wala kuupiga vita uongo,vyote hivi vipo. Mpaka waja wema wakafika mbali kwa kusema ya kuwa "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema na lenye kuhimizwa kufanywa basi mimi nisinge lifanya kwa ajili ya kujitakasa zaidi kwa Mola wangu". Leo hii tena bila hoja unasema ni dhana.

Kaka kosoa hoja zangu na si kinyume chake. Hivi mama mzazi kuwa mkubwa kiumri hii ni dhana au uhalisia,huu ni ukweli au uongo ?

Hili la kusema ukiwa muongo ni muongo tu na ukiwa mkweli mkweli tu,sijui kwanini umeliweka hapa yaani hukuwa na haja ya kuliweka hapa. Uongo no tabia mbaya na mwenye nayo huweza kubadilika na akawa mkweli na mkweli pia akawa muongo. Ndiyo maana nikaandika huko nyuma ya kuwa katika mada yako uongo ni mwingi kuliko ukweli,maana yake kuna ukwelo mdogo sana,yaani kuhusu matambiko,kafara hivi watu wanafanya na vina hukumu zake,ama kuhusu msingi wa mada yako juu ya mataifa hakuna chembe ya ukweli humo.

Hakuna nilipo jichanganya katika hili. Unachokosea wewe hata kile ninachokiandika hukigusi wala hukisoi unaongelea ujumla na unaendelea kukosea.
 
Brother rudi shule tafadhali ukweli kamwe hauwezi kuwa uhalisia! Na unaanzaje kubisha kuwa si nadharia? Duh!
Usichokijua ni kuwa maisha yangu yote naishi kuutafuta ukweli.

Nirudi shule mara ngapi wakati hapa nilipo nipo shule. Unachokosea wewe hukosoi ninacho kiandika.

Ukweli si nadharia sababu msingi wa nadharia ni dhana yaani wazo tu ambalo hujengeka katika umbo fulani.

Leo hii huwezi kuniambia ya kuwa uwepo wa Mola au Jua ni nadharia tu wakati jua tunaliona na tuna lihisi na kuna ambavyo hatuvioni wala hatuvihisi ila ni vya kweli na ni uhalisia lakini vina ishara juu ya uwepo wake.

Mimi nakupa kazi ndogo sana nitenganishie kati ya Ukweli na Uhalisia. Ukiweza naacha kujadili hii mada.
 
Mungu huyo mungu yupi aliyeyasema hayo ?

Sababu huwezi kuipata pepo bila kupitia duniani,au kuishi dunia ni sharti la kuipata pepo.

Huenda ulielewa vibaya kaulo hiyo. Kisichotakiwa ni mtu kuihangaikoa mno dunia na akaisahau akhera yake.

Nabio suleyman kile alicho pewa alikiomba na Mola wetu humpa amtakaye na humnyima amtakaye kwa hekima zake.
Wazungu walileta biblia kutuvuruga hili watutawale.
 
Katika elimu ya ukosoaji na mijadala. Tunashauriwa sana kusoma kile alichokiandika aliye dhidi yako kabla hujajibu hoja.

Natoka kwenye mjadala naingia katika kukufundisha sababu hili ndiyo stahiki kwako.

Ili uonyeshe ya kuwa nimekosa jibu unatakiwa ukosoe nilicho kiandika kinyume na hapo unaonyesha udhaifu na uchachefu wa maarifa juu ya kadhia hii.

Huu ni uongo ulio pea hata mtoto mwenye balehe mbichi atakupinga.

Hapa nimecheka kidogo. Uongo si dhana wala ukweli si dhana,vingekuwa viwili hivi ni dhana leo hii tusingeshughulika na kuutafuta ukweli wala kuupiga vita uongo,vyote hivi vipo. Mpaka waja wema wakafika mbali kwa kusema ya kuwa "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema na lenye kuhimizwa kufanywa basi mimi nisinge lifanya kwa ajili ya kujitakasa zaidi kwa Mola wangu". Leo hii tena bila hoja unasema ni dhana.

Kaka kosoa hoja zangu na si kinyume chake. Hivi mama mzazi kuwa mkubwa kiumri hii ni dhana au uhalisia,huu ni ukweli au uongo ?

Hili la kusema ukiwa muongo ni muongo tu na ukiwa mkweli mkweli tu,sijui kwanini umeliweka hapa yaani hukuwa na haja ya kuliweka hapa. Uongo no tabia mbaya na mwenye nayo huweza kubadilika na akawa mkweli na mkweli pia akawa muongo. Ndiyo maana nikaandika huko nyuma ya kuwa katika mada yako uongo ni mwingi kuliko ukweli,maana yake kuna ukwelo mdogo sana,yaani kuhusu matambiko,kafara hivi watu wanafanya na vina hukumu zake,ama kuhusu msingi wa mada yako juu ya mataifa hakuna chembe ya ukweli humo.

Hakuna nilipo jichanganya katika hili. Unachokosea wewe hata kile ninachokiandika hukigusi wala hukisoi unaongelea ujumla na unaendelea kukosea.
Nilitambua wazi hii aya itakutatiza ndio maana nikaweka angalizo mwishoni.. Hebu soma tena mstari wa mwisho
 
Katika elimu ya ukosoaji na mijadala. Tunashauriwa sana kusoma kile alichokiandika aliye dhidi yako kabla hujajibu hoja.

Natoka kwenye mjadala naingia katika kukufundisha sababu hili ndiyo stahiki kwako.

Ili uonyeshe ya kuwa nimekosa jibu unatakiwa ukosoe nilicho kiandika kinyume na hapo unaonyesha udhaifu na uchachefu wa maarifa juu ya kadhia hii.

Huu ni uongo ulio pea hata mtoto mwenye balehe mbichi atakupinga.

Hapa nimecheka kidogo. Uongo si dhana wala ukweli si dhana,vingekuwa viwili hivi ni dhana leo hii tusingeshughulika na kuutafuta ukweli wala kuupiga vita uongo,vyote hivi vipo. Mpaka waja wema wakafika mbali kwa kusema ya kuwa "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema na lenye kuhimizwa kufanywa basi mimi nisinge lifanya kwa ajili ya kujitakasa zaidi kwa Mola wangu". Leo hii tena bila hoja unasema ni dhana.

Kaka kosoa hoja zangu na si kinyume chake. Hivi mama mzazi kuwa mkubwa kiumri hii ni dhana au uhalisia,huu ni ukweli au uongo ?

Hili la kusema ukiwa muongo ni muongo tu na ukiwa mkweli mkweli tu,sijui kwanini umeliweka hapa yaani hukuwa na haja ya kuliweka hapa. Uongo no tabia mbaya na mwenye nayo huweza kubadilika na akawa mkweli na mkweli pia akawa muongo. Ndiyo maana nikaandika huko nyuma ya kuwa katika mada yako uongo ni mwingi kuliko ukweli,maana yake kuna ukwelo mdogo sana,yaani kuhusu matambiko,kafara hivi watu wanafanya na vina hukumu zake,ama kuhusu msingi wa mada yako juu ya mataifa hakuna chembe ya ukweli humo.

Hakuna nilipo jichanganya katika hili. Unachokosea wewe hata kile ninachokiandika hukigusi wala hukisoi unaongelea ujumla na unaendelea kukosea.
Nilitambua wazi hii aya itakutatiza ndio maana nikaweka angalizo mwishoni.. Hebu soma tena mstari wa mwisho

Ukiwa muongo ni muongo tuu...na ukiwa mkweli ni mkweli tu..lakini si mambo yote utakuwa muongo na si mambo yote utakuwa mkweli .. Kila jambo moja linajitegemea uongo ama ukweli Wake! Hivyo usije ukajichanganya hapa
 
Usichokijua ni kuwa maisha yangu yote naishi kuutafuta ukweli.

Nirudi shule mara ngapi wakati hapa nilipo nipo shule. Unachokosea wewe hukosoi ninacho kiandika.

Ukweli si nadharia sababu msingi wa nadharia ni dhana yaani wazo tu ambalo hujengeka katika umbo fulani.

Leo hii huwezi kuniambia ya kuwa uwepo wa Mola au Jua ni nadharia tu wakati jua tunaliona na tuna lihisi na kuna ambavyo hatuvioni wala hatuvihisi ila ni vya kweli na ni uhalisia lakini vina ishara juu ya uwepo wake.

Mimi nakupa kazi ndogo sana nitenganishie kati ya Ukweli na Uhalisia. Ukiweza naacha kujadili hii mada.

Mbona unapenda sana hii sentence ya kwamba ukijibiwa unaacha kujadili
Nakupa mfano rahisi sana
Je ukweli wa 'maji' kwenye bilauri ni upi? Na uhalisia ni upi?
Je ukiona kitu unakuwa umekiangalia au umekitazama?
Jibu kwa muktadha wa ukweli na uhalisia
 
yeap na kila mara nasema ya kwamba kuna nguvu za ziada ambazo kuna watu utumia hili kufanikisha jambo fulani.

Wao wana kaa na shetan anawapa maelekezo namna ya kufanya na ambao ufuatisha ndio upata mafanikio na chakuonhezea tu ni kwamba hata biblia inaeleza kabisa kwenye kitabu cha agano jipya kwamba dunia na ulimwengu ni miliki ya shetani [emoji12] na ndio maana uipamba ipendeze kupitia watu wake. na ndio maana MWENYEZI MUNGU akakataza kujisumbua sana kutafuta mali za dunia (miliki ya kishetani) bali tuutafute ufalme wa mbingu (miliki yake)

Hii mada ni funga kazi asante mshana jr.
umechanganya mafaili mkuu, dunia na vilivyomo na huyo shetani mwenyewe unaemsema vyote ni milki ya mwenyezi mungu muumba wa vyote bali amefanya huyo shetani awe mtihani kwa wanadamu tu...na si mshirika wake katika umiliki take it from me huyo shetani hamiliki hata ubawa wa nzi hapa duniani, kinachosemwa ni maisha ya dunia ni ya kupita na ya aakhirah ndio yenye kubakia..
 
"Baba, sisi tunataka kuwasha Mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Kwa mujibu wa nukuu yako hapo juu kuna kipande kinasema"UMULIKE HATA NJE YA MIPAKA YETU"

Lakini wewe kwenye kujenga hoja umetumia "UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU"

mkuu mshana jr haujui kama hizo ni sentensi mbili tofauti na kila sentensi ina ufafanuzi wake.

Ya kwanza "UMULIKE HATA NJE YA MIPAKA YETU" kwa ufupi hapo kuna neno "HATA" kwa maana jambo likishafanyika basi liende na kwingine,
"ina maana mwenge ukiwa unamulika hapa Nchini usiishie hapa tu umulike na mataifa mengine yaliyo nje ya mipaka yetu"

Na hiyo "UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU" Ndio kama hoja yako ulivyoelezea.

Nimenukuu.

Cc Zero IQ

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
kwanza "UMULIKE HATA NJE YA MIPAKA YETU" kwa ufupi hapo kuna neno "HATA" kwa maana jambo likishafanyika basi liende na kwingine,
"ina maana mwenge ukiwa unamulika hapa Nchini usiishie hapa tu umulike na mataifa mengine yaliyo nje ya mipaka yetu"

Na hiyo "UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU" Ndio kama hoja yako ulivyoelezea.

Nimenukuu.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752]
 
Nilitambua wazi hii aya itakutatiza ndio maana nikaweka angalizo mwishoni.. Hebu soma tena mstari wa mwisho

Ukiwa muongo ni muongo tuu...na ukiwa mkweli ni mkweli tu..lakini si mambo yote utakuwa muongo na si mambo yote utakuwa mkweli .. Kila jambo moja linajitegemea uongo ama ukweli Wake! Hivyo usije ukajichanganya hapa
Naona unaendelea kukosea. Hapa inabidi usome wewe uelewe nilicho kiandika.

Uongo ni tabia kadhalika ukweli huingia katika tabia.
 
Tabia ni dhana dhanifu kama ilivyo kwa uongo na ukweli
 
Mbona unapenda sana hii sentence ya kwamba ukijibiwa unaacha kujadili
Napenda sentensi hii ili kuokoa muda na kumfanya awe makini yule ninaye jadiliana naye.
Je ukweli wa 'maji' kwenye bilauri ni upi? Na uhalisia ni upi?
Japokuwa maswali yangu unayakwepa,nakujibu swali lako. Ukweli wa maji kwenye bilauri ndiyo uhalisia wa kuwepo maji hayo ndani ya bilauri.
Je ukiona kitu unakuwa umekiangalia au umekitazama?
Kwa muktadha wa ukweli na uhalisia ni yale matokeo yatokanayo na kuona.

Kuangalia na kutazama ni maneno mawili tofauti yenye maana sawa.
 
Back
Top Bottom