Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka?

Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa kulala. Nalala saa tisa au saa kumi usiku. Nikalala muda huo nachelewa kuamka. Naamka saa sita au saa saba mchana. Na nyumbani hakuna mtu yeyote anaesema ati kwann nachelewa kuamka. Kwetu ni kawaida sna km hauna kazi, ukitaka ata usiamke hakuna mtu atasema.

Nimeshangaa hawa wamama wanasema msichana km anachelewa kuamka mwagie maji ya baridi. Ni tabia mbaya kuchelewa kuamka. Kwaiyo Mtu ata km huna kazi kwa vile tu mwanamke ndo uamke mapema? Unaamka mapema unafanya nn sasa? Au unaenda wap? Mawazo mgando tu
 
Na wakat wife material anaamka mapema husband material anakua anafanya nn? amelala?
Husband aamke adeki, aoshe vyombo, apike chai wewe amka upige mswaki, uoge, unywe chai kisha muite chumbani mfanye mumeo na umbebeshe ujauzito ili akuzalie mtoto. Nenda kazini au kibaruani au kwenye biashara kutafuta pesa rudi nyumbani jioni utakuta mumeo ameshapika cha usiku. Lala saa nane kisha amka saa sita kesho yake.
 
Mkuu kwani hakuna wanawake wanaotafuta pesa na kulisha familia
 
Husband aamke adeki, aoshe vyombo, apike chai wewe amka upige mswaki, uoge, unywe chai kisha muite chumbani mfanye mumeo na umbebeshe ujauzito ili akuzalie mtoto. Nenda kazini au kibaruani au kwenye biashara kutafuta pesa rudi nyumbani jioni utakuta mumeo ameshapika cha usiku. Lala saa nane kisha amka saa sita kesho yake.
Siku hzi wanawake pia wanafanya kazi
 
Wapo ila siyo sawa hiyo! Mwenyezimungu hakutuumba ili mwanamke ndio aitunze familia! Ukiona hivyo ujue kuna udhaifu mkubwa kwa mwanamke
Udhaifu kwa mwanamke kivipi tena wakati ninyi wanaume wa siku hizi ndiyo mnasema mnataka kusaidiana maisha hamtaki tena wanawake magolikipa
 
Back
Top Bottom