Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Asante mtumishi
 
Imani yetu ya kikristo imejaa mikanganyiko mingi kiasi kwamba wanazuoni wakristo wenyewe kwa wenyewe hawaelewani. Hata unachoongea hapa ni mrengo wa PRE-TRIBULATION RAPTURE kwenye Teolojia. Mwingine anaamini kwenye POSTTRIBULATION RAPTURE., mwingine MIDTRIBULATION RAPTURE. Ukija kwenye Teolojia ya kikatoliki hakuna unyakuo. Na wote hao ati ni wakristo na kila mmoja anajiona ndio yuko sahihi zaidi. Na wote hao wanadai wanaongozwa na roho mtakatifu kuujua ukweli. Upuuzi mtupu. Mbona Yesu mwenyewe amesema ufalme uliogawanyika hauwezi kusimama. Achana na hizo tabiri za mwisho wa dunia ishi maisha adilifu basi yatosha. Whether the world will end tomorrow or will last forever hilo halitakusumbua. Hizo doomsday zilitabiriwa nyingi zikapita and nothing happened. Ni ujinga tu.
 
Kweli huyu atakuwa wa kizazi cha 2000. Akina HELLEN WHITE na wenzake wa Sabato walishatabiri mwisho wa dunia karne ile ya 19 wakaangukia pua wakajaribu kubadilisha tarehe lakini holaaa. Tuache haya mambo ya kijinga.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kwahio Netanyahu atamnyoosha
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa mwisho wa dunia ni pale pumzi yako inapokata. Otherwise dunia itaendelea kuwepo tu.

Naanza kumuelewa sasa.
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Matayo 16:28
 

Attachments

  • 061392C4-ED1B-4797-B987-ABE948D4A134.jpeg
    55.4 KB · Views: 1
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa mwisho wa dunia ni pale pumzi yako inapokata. Otherwise dunia itaendelea kuwepo tu.

Naanza kumuelewa sasa.
Ni msemo wa mababu wa siku nyingi sana. Wewe ukifa na dunia yako imefika mwisho. Doomsday ni hadithi za kipumbavu tu. Mara sijui kuna Asteroid itaipiga dunia mwisho wa mwaka 2024! Iko wapi? Asteroids zinapita kivyao kwenye orbit zao and nothing happens. Yaani ulevi wa dini ni afadhali unywe safari lager ukalale zako. Ni uraibu mbaya kuliko uraibu mwingine wowote. Unafanywa ndondocha na una Ph.D yako uliyoisotea miaka mitano kuandika thesis😆
 
😆😆😆😆😆😆 Bora safari ukiamka unakuwa mpya
 
Watu wanajua Bwana Yesu ni mnyonge hawafikiri hayupo duniani lakini Jina lake likitajwa mapepo hanatetemeka.. Sasa hawajui ni zaidi ya atakayokuja mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…