John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Mambo ya Mchungaji Kibwetere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutuambia hao Watakatifu bado hawajanyakuliwaga tu miaka 1000 iliyopita? sasa kama bado tuna safari kusubiri miaka 1000 mbona hiyo itakuwa kisanga???Miaka elfu Moja ni baada ya WATAKATIFU kunyakuliwa.
Mfano Unyakuo ulifanyika Leo, wataondoka WATAKATIFU pekee na kubaki wasiojiandaa, ndipo watapitia mateso MAKALI wakati huo WATAKATIFU wakipitia karamu.
Halafu ujue Ile haikuwa ndoto, ni halisi nilikuwa katika Roho.
Papa Francis ni Jesuit. Papa Francis akiongea jambo huwa nalitafakari mara mbili mbili halafu naliweka moyoni.Hujakosea mkuu.
Pope Francis Urges Jews to "Kill Jesus Again"if He Returns to Earth.
Pope Francis left onlookers stunned at an Italian prison when he made a statement that sent shock waves through the Catholic Church.
😂😂😂Tena Kwa wayahudi tulionao sahivi, watampiga Yesu makombora mpk achakae
Darasa la nne kama mie mkuu lkn nlikua sielewi zaidi ya taarabu moja hiv ndo ilikua na wimbo unaitwa Y2K 🤣🤣Y=Year
2=mbili
K=000 (inasimama badala ya sifuri tatu
Year 2000 (mwaka elfu mbili)
Kipindi wanasema mwaka 2000 kiama mimi nilikuwa darasa la nne (ilikuwa 1999)
Mkesha wa mwaka mpya kutoka 1999 kuingia 2000 nilikaa nje naangalia juu ili nione kiama kinakuwaje
Cha ajabu mpaka leo tunadunda tu
Yesu atarudi kulichukua kanisa gani?Una akili mdogo sana ,Kurud Kwa Yesu hakutakua Kwa kinyonge na ufukara kama unavyowaza kiufukara itakua ni tukio la kutisha mnoo.. kama unadhan natania kawaulize wale walinzi pale kaburini wakati anafufuka yaan walkua kama wafu wakat Mwanaume anafufuka palikua hapatoshi ,Kwa iyo hayo mabomu ya Netenyau yenyewe yatasema Yesu amerudi ,miti itasema Yesu amerudi,mamba itakiri Yesu amerudi ,Samia,Museven,Ruto,kagame,askofu, Sheikhe ,imamu,Mufti woooote watasema Yesu amerudi kulichukua kanisa, ng'ombe wako kuku,meza kabati, vijiko, kitanda vyooote vitasema ni mwisho wa Dunia
nilisisitiza wokovu kwa sababu majibu ya mambo yote ya rohoni hupatikana pale mtu anapopokea wokovu. Maana ndipo Roho Mtakatifu huingia ndani ya mtu huyo na kuanza kumfunulia yote, hata yale mafumbo ya Mungu.Hapa umejibu swali, kwamba watakaokutwa hai. Meaning hilo tukio kama lipo linaweza kuwa hata miaka 100,000 ijayo au b5 au 1,000 au siku 1. Kila la heri.
Sijakwama popote, nilikuuliza swali ukaanza kusisitiza wokovu badala ya kujibu swali.
NdioMkuu kwani Yesu ni MUNGU?
Upo sawa ila swali lilikuwa la kawaida si la kiroho.nilisisitiza wokovu kwa sababu majibu ya mambo yote ya rohoni hupatikana pale mtu anapopokea wokovu. Maana ndipo Roho Mtakatifu huingia ndani ya mtu huyo na kuanza kumfunulia yote, hata yale mafumbo ya Mungu.
1Kor 2:10
“Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
”
— 1 Wakorintho 2:10 (Biblia Takatifu)
unafahamu malimbuko? (first fruits)hizo Hadith za kusimuliwa na wachungaji wenu..lakini ukisoma biblia kwa utulivu utagundua wasichokijua wakristo wengi wavivu wa kusoma biblia kwa tafakuri..
Kanisa litapitia dhiki kuu kwa kipindi Cha miaka 3 na nusu ,,afu litanyakuliwa then miaka mitatu na nusu ya mwisho ndio itaitimisha dhiki kuu kwa mapigo ya Mungu mwenyewe!!!
kwenye Biblia, mambo yote ni kiroho. [Yoh 6:63] na mambo yote ya kiroho ni logical. Ni vile tu akili huwa inakwama, yaani Ina uwezo mdogo kuyaelewa mambo ya Mungu.Upo sawa ila swali lilikuwa la kawaida si la kiroho.
Lolote utakalosema, ukishasema umeenenda kiroho upo sawa kwa upande wako as long as hujavunja sheria za nchi sababu hakuna limitation kwenye ulimwengu wa roho, meaning hakuna logic unaenda kwa imani.
Ndo maana akija mtu hapa akasema jana kiroho alifanya kikao na malaika katika jangwa nchini misri ukianza kumbishia kuwa kaenda saa ngapi kwa sababu ulimuona asubuhi akila makande kwake hamtaelewana. Mwenzako yupo kiroho wewe unakuja na Logic.
Wanamsemea?
Aliwaambia hakuna ajuaye siku wala saa
Ni kanisa lipi ndo litanyakuliwa mkuu.hizo Hadith za kusimuliwa na wachungaji wenu..lakini ukisoma biblia kwa utulivu utagundua wasichokijua wakristo wengi wavivu wa kusoma biblia kwa tafakuri..
Kanisa litapitia dhiki kuu kwa kipindi Cha miaka 3 na nusu ,,afu litanyakuliwa then miaka mitatu na nusu ya mwisho ndio itaitimisha dhiki kuu kwa mapigo ya Mungu mwenyewe!!!
Embu nipe Logic ya Yona kumezwa na Samaki kwa kuzingatia mfumo wa Samaki na binadamu ulivyo.kwenye Biblia, mambo yote ni kiroho. [Yoh 6:63] na mambo yote ya kiroho ni logical. Ni vile tu akili huwa inakwama, yaani Ina uwezo mdogo kuyaelewa mambo ya Mungu.
Okay, nieleze Mungu alipomuumba Adamu, alimuumba Yeye MUNGU akiwa katika umbo Gani?Mkuu, Wapi nmemtaja Mungu ?
Au na ww ushajiunga lile grup linaloamini kwamba Mungu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe🤔
Tittle ya uzi wako ni swali au maelezo!?Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Mwisho wa Dunia hauji kabla ya Unyakuo wa WATAKATIFU.Pengine wewe bado mtoto mdogo wa 2000, ila sie wazee wako tulishaahidiwa na manabii wa kizazi kipya kuwa mwisho wa dunia ulikuwa mwaka 1978, wakachemka tena na kusema mwaka 1982 mara 1999......cha kushangaza mpaka leo bado tunapeta tu na kugawana dhambi according to dini za kuletewa.
samaki wakubwa kama papa, nyangumi wana uwezo wa kummeza mtu. logic ni reason. Mungu hafanyi jambo lisilo na sababu. shida ni kutaka kujua mambo ya rohoni kwa akiliEmbu nipe Logic ya Yona kumezwa na Samaki kwa kuzingatia mfumo wa Samaki na binadamu ulivyo.
Ukitoka hapo njoo niambie Logic ya wanyama wawili, wawili ndani ya Safina walikula nini kwa kuzingatia circle of life kama uijuavyo.
Kisha uje na logic ya Adam na Eva walizaliana vipi hadi kijana wao kukimbilia kwenye mataifa mengine yanayotajwa na biblia.
NB: LOGIC, SIYO MAMBO YA ROHONI.
Nikisema Logic nadhani unanielewa.
It's possible,yote yaliyotabiriwa yametimia na yanazidi kutimiaKuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.