Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

Soma Biblia vizuri kaka dhiki itawakuta wema na wabaya wote hapa duniani ndiyo maana Yesu akasema kama hizo siku zisipofupishwa hakuna mtu ambaye ataokoka
Mkuu kuna sehem ndio hujaielewa vizuri , jamaa yuko sahihi.
 
Nikumbushe hii Y2k mkuu ilikua ni nn ? Nlikua mdogo kitambo icho
Y=Year
2=mbili
K=000 (inasimama badala ya sifuri tatu

Year 2000 (mwaka elfu mbili)

Kipindi wanasema mwaka 2000 kiama mimi nilikuwa darasa la nne (ilikuwa 1999)

Mkesha wa mwaka mpya kutoka 1999 kuingia 2000 nilikaa nje naangalia juu ili nione kiama kinakuwaje

Cha ajabu mpaka leo tunadunda tu
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Matayo 16:28
 

Attachments

  • A8554A9D-FB13-4D8A-9611-6DC81AA397C6.jpeg
    55.4 KB · Views: 2
You have hallucinations.

You need mental rehabilitation therapy.

You need to restore your brain 🧠 to factory settings.
 
yesu yupo tatizo hamna akili kukosa maarifa mnategemea atakuja kutoka angani
 
Y2k millennium bug walitumbia computer zote zitasimama hazitafanya kazi 😄

Ova
Hukuwaelewa, siyo kila computer bali zinazoendesha programme zinazotegemea tarehe na ambazo awali ziliwekewa digits mbili za mwisho za mwaka, mfano badala ya 1999 zikawa ziliwekewa 99. By the way, ni kweli zipo computers kadhaa zilizo misbehave katika tarehe hiyo ya 1/1/2000
 
Kipindi hicho ndy nlikuwa napiga course ya advance diploma ya information technology IMIT basi mada hyo ilikuwa mshikemshike tu

Ova
 
Rabbi wewe si leo umetuandukia ile ndoto yako murua ya Yesu kuwa mawingini na Jeshi la watakatifi na malaika akiwa njiani kuja? Hapa unataka kutuambia ile ndoto yako nzuri ilikuwa ya shibe ya mahagwe Ya Mbeya?? yaani uataka kutuambia tusubiri tena hadi baada ya miaka elfu moja na ushee tena?
 
Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Wasabato wanahubiri sana hii kitu madai Yao 2030 ndo mwisho Wa Dunia Mimi nilifikiwa hahah
 
hizo Hadith za kusimuliwa na wachungaji wenu..lakini ukisoma biblia kwa utulivu utagundua wasichokijua wakristo wengi wavivu wa kusoma biblia kwa tafakuri..

Kanisa litapitia dhiki kuu kwa kipindi Cha miaka 3 na nusu ,,afu litanyakuliwa then miaka mitatu na nusu ya mwisho ndio itaitimisha dhiki kuu kwa mapigo ya Mungu mwenyewe!!!
 
Duh nifungashe vipaja 30 vya kuku vya kwenda navyo mbinguni
 
Hivi Mungu mwenye huruma ni wa kumtupa mwanadamu kwenye ziwa la moto kweli?nahisi baadhi ya watu mnatafsiri biblia vibaya.
Kweli ana huruma lakini hana huruma kwa wenye dhambi wasiotaka kutubu na kuziacha njia zao mbaya na kumwamini Yesu Kristo ili waweze kuondolewa dhambi zao. "Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba". (2Peter 3:9)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…