Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Year 2000Y2k kirefu chake nini
2k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Year 2000Y2k kirefu chake nini
Mkuu kuna sehem ndio hujaielewa vizuri , jamaa yuko sahihi.Soma Biblia vizuri kaka dhiki itawakuta wema na wabaya wote hapa duniani ndiyo maana Yesu akasema kama hizo siku zisipofupishwa hakuna mtu ambaye ataokoka
Y=YearNikumbushe hii Y2k mkuu ilikua ni nn ? Nlikua mdogo kitambo icho
Matayo 16:28Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Mkuu kwani Yesu ni MUNGU?Wewe Mbona unaandika vitu kuashiria kuwa una laana?
Unawezaje kumzungumzia MUNGU namna ulivyofanya?
Hukuwaelewa, siyo kila computer bali zinazoendesha programme zinazotegemea tarehe na ambazo awali ziliwekewa digits mbili za mwisho za mwaka, mfano badala ya 1999 zikawa ziliwekewa 99. By the way, ni kweli zipo computers kadhaa zilizo misbehave katika tarehe hiyo ya 1/1/2000Y2k millennium bug walitumbia computer zote zitasimama hazitafanya kazi 😄
Ova
Kipindi hicho ndy nlikuwa napiga course ya advance diploma ya information technology IMIT basi mada hyo ilikuwa mshikemshike tuHukuwaelewa, siyo kila computer bali zinazoendesha programme zinazotegemea tarehe na ambazo awali ziliwekewa digits mbili za mwisho za mwaka, mfano badala ya 1999 zikawa ziliwekewa 99. By the way, ni kweli zipo computers kadhaa zilizo misbehave katika tarehe hiyo ya 1/1/2000
Rabbi wewe si leo umetuandukia ile ndoto yako murua ya Yesu kuwa mawingini na Jeshi la watakatifi na malaika akiwa njiani kuja? Hapa unataka kutuambia ile ndoto yako nzuri ilikuwa ya shibe ya mahagwe Ya Mbeya?? yaani uataka kutuambia tusubiri tena hadi baada ya miaka elfu moja na ushee tena?Pia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
Kwahiyo anaanzia US?Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Wasabato wanahubiri sana hii kitu madai Yao 2030 ndo mwisho Wa Dunia Mimi nilifikiwa hahahKuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
hizo Hadith za kusimuliwa na wachungaji wenu..lakini ukisoma biblia kwa utulivu utagundua wasichokijua wakristo wengi wavivu wa kusoma biblia kwa tafakuri..Pia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
Tunamshukuru Mama Samia kwa Yesu kurudi.
Kwanini mshana unasema hivyo bro?Bado sana kwa hesabu za kibinadamu
Kweli ana huruma lakini hana huruma kwa wenye dhambi wasiotaka kutubu na kuziacha njia zao mbaya na kumwamini Yesu Kristo ili waweze kuondolewa dhambi zao. "Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba". (2Peter 3:9)Hivi Mungu mwenye huruma ni wa kumtupa mwanadamu kwenye ziwa la moto kweli?nahisi baadhi ya watu mnatafsiri biblia vibaya.
Ukifa inaende hivyo hivyo kwa watakaokuwa hai huko mbele si ndio? Hata miaka 2000 mingine, 5000, 10,000 haijalishi.sisi tulio hai ni Mimi ninayekuwa ninasoma hapo kwa wakati huo. Ilimaradi nimeokoka. Neno la Mungu ni hai