Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.

Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni, kaomba Msaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.

Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......

1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake

2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono

3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra

4. Huenda kuna Tukio la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga

5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao

6. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha

Nimemaliza.

Pia soma: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
 
Back
Top Bottom