Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mkuu Genta umeona kwa darubini kali....Tega sana Sikio lako kuanzia hii Leo (hasa Usiku huu) hadi Ijumaa au Jumamosi. Nakuomba hizi Siku tajwa zizingatie!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Genta umeona kwa darubini kali....Tega sana Sikio lako kuanzia hii Leo (hasa Usiku huu) hadi Ijumaa au Jumamosi. Nakuomba hizi Siku tajwa zizingatie!!!
Inasikitisha sana mkuuLumpen Proletariat akipoteza muda Kuuchangia Uzi wa Mtu ambaye amemzidi kwa mbali sana tu Akili na Maarifa pia.
Mumeambiwa ukweli mweupe Sasa mnatapatapa tuu.Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni, kaomba Msaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Pia soma: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Spana mpaka vitongojiniMumeambiwa ukweli mweupe Sasa mnatapatapa tuu.
Hakuna kitu kama hicho so usijisumbue.
ChoiceVariable yupo fair sana, sio chawa kivileee. Kwa maoni yangu. Ila hiyo njemba nyingine 😅😅😅Hasa Watanzania wa dizaini za huyu Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Chawa Mwenzake ChoiceVariable
Hata robo ya Vitongoji hamuwezi pataSpana mpaka vitongojini
Subirini goli la mama Zanzibar, Yanga watajazwa mapesa mbaki mnamshangilia mama mitano tena.Baada ya Ally kibao kutekwa na kuuwawa tukaletewa "movie" ya yusuph kagoma ,wazee wa Cuba tulishtukia mchezo.
Tayari baadhi ya masheikh wameshaanza porojo zao kutetea uovu.
Naungana na wewe Genta lazima Kuna jambo litaanzishwa
Huna loloteNimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni, kaomba Msaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Pia soma: Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
Ungenichanulia nikuweke?Huna lolote
We umeweke nani mtu mwenyewe huna marinda kama Lissu tu.Ungenichanulia nikuweke?