mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
We unaona sawa watu wanavyochukuliwa na kupoteaHivi na wewe una jiona upo sawa kichwani.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaona sawa watu wanavyochukuliwa na kupoteaHivi na wewe una jiona upo sawa kichwani.
Mkuu umenifanya Nicheke hadi basi. Wasifanye mambo ya nani vile tena........!!Mods msifanye mambo ya Msigwa basi.
Sijui ujinga gani ambao hutaki maana hilo dungu lililobebwa na shingo tayari lina ujinga ulioukuka.Ww nenda Kenya kaandamane uku tz hatutaki ujinga wenu
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Ni kama mtu amehalalisha kifo,kuuana na raia wa chini watapita mule mule naoYaani ilikua hata akiuliwa mtu mtaa unashangilia na kufurahia, lakini kibao kimegeuka
Kumuelewa Genta inahitaji kutumia akiliNimetoka kapa
Tayari wameshaanzaTunaomba wazee wa huko tanga kisomo kiendelee zaidi na zaidi mpk watu wapoteane.
Wewe ndio hujui kama hujui, huyo Bibi ametia petrol kwenye moto.Igizo limebamba hakuna linalotokea kwa bahati mbaya yale yalipangwa/mikakati,, lengo limetimia kutoka kujadili kifo cha Chifu Kibao sasa tupo kwenye hotuba yake na hapa Kati yataibuka maigizo mnoo.
I wish mmoja amwambie ukweli kuwa arudi alipozungumza azungumze tena ingawa itakuwa ngumu lkn atakuwa amejifunza jambo ingawa ni ngumu!!5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
🤣🤣🤣🤣Yaani umenifanya Nicheke hadi basi Mkuu.