Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukw
Hiyo namba 6 😊
Binafsi genta umechachamaa Sana siku ya Leo sijawaona watu kina bro Pascal Mayalla wakitoa maoni.

Kuna constructive criticism nilitaka niitoe kwa madam president Ila nimeamua kuacha.

Leo mitandao kumechafuka kila mahali na kila sehemu speech ya Jana ya mama kusema ukweli mama alipuyanga sana sio utani..
 
Hasa Watanzania wa dizaini za huyu Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Chawa Mwenzake ChoiceVariable
🤣
Hao wakipewa buku 7 na matumaini HEWA ya uteuzi ndio wanajiona wao ndio wao.


Ngoja akamwage hela kwenye mpira na mastaa wa mtandaoni ndani ya dakika 0 watz wanasahau kila kitu.




Shida ni kule anakoendaga kuomba matrilioni na kukopa matrilioni kama na wenyewe watasahau jinsi walivyofokewa na kuchambwa.
 
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuw
😀😀😀😀...kuna watu ni genius aisee, your among them, even before hayo kutokea, with a such kind of presentation ,have my salute brother
 
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.

Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.

Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......

1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake

2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono

3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra

4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga

5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao

6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi

7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha

Nimemaliza.
www.ramli.co.tz
 
Back
Top Bottom