inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
A string of nonsensical threads,drink water bro!Rubbish and Nonsensical.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A string of nonsensical threads,drink water bro!Rubbish and Nonsensical.
Mimi kwa mara ya kwanza nimemwona Malasusa amekemea na hata sauti yake ilikuwa ya ukali aisee sikutegemea .Ila Mama nimeshangaa sana jana kuanza kujitambulisha mimi ndie amiri Jeshi daaa tumefika huko kwamba hata wasiojulikana na wanaojulikana na waliopotea waliokufa hawajui kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuuLakini Malasusa alikemea na kutoa rai kwa wachungaji kote nchini kuombea taifa na kukemea jambo hilo
Na ndiyo maana wenye Akili Kubwa tumeamua Kumpa Spana za Kutosha tu ili ajue kuwa Jana Kalikoroga na Kaharibu.Hiyo namba 6 😊
Binafsi genta umechachamaa Sana siku ya Leo sijawaona watu kina bro Pascal Mayalla wakitoa maoni.
Kuna constructive criticism nilitaka niitoe kwa madam president Ila nimeamua kuacha.
Leo mitandao kumechafuka kila mahali na kila sehemu speech ya Jana ya mama kusema ukweli mama alipuyanga sana sio utani..
SAMIA MUST GOBaada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Still Rubbish and Nonsensical.A string of nonsensical threads,drink water bro!
KUDADADEKI....!!!!SAMIA MUST GO
Binafsi pia ilinishtua sana mkuu, mpaka nikahisi mambo kadhaa yaliyokuwa yakisemwa baada ya kifo cha JPM,nikahisi inawezekana aliside na wale ambao hawakutaka smooth transition kama katiba inavyotuongozaMimi kwa mara ya kwanza nimemwona Malasusa amekemea na hata sauti yake ilikuwa ya ukali aisee sikutegemea .Ila Mama nimeshangaa sana jana kuanza kujitambulisha mimi ndie amiri Jeshi daaa tumefika huko kwamba hata wasiojulikana na wanaojulikana na waliopotea waliokufa hawajui kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuu
Stay tuned kuanzia leo hadi Jumamosi Mkuu sawa?Noma Sana Aisee 🤔
Acha tukae mkao wa kula tuone tutakachoandaliwa mezani
😂😂Kifo ni kifo,ova,🏃🏃🏃Hasa na kilichomchanganya zaidi ni Hizi Threads zetu hapa JamiiForums kwani kila akisoma anakuta Kapigwa tu Spana.
Ungekuja Ofisini Kwangu (nilipokuwa Mkufunzi wako pale Chuoni) huku ukilia kuwa na Alama (Marks) Ndogo na kwamba nikusaidie ili Usifeli kwakuwa hukuwa na Hela tena kama sikuwa sawa Kichwani?Hivi na wewe una jiona upo sawa kichwani.
Ndiyo maana Namdharau, Tunamdharau na Tunawadharau huko Kwao pia.Haeleweki yule dingi,na juzi alijikakamua baada ya kelele nyingi zingine zikisikika toka ndani ya Kanisa (vijana) kuhusiana na ukimya na ndiyo maana akajikaza kuongea na nadhani ilikuwa msibani......ila Malasusa alishasema kwa lolote lile yeye atakuwa upande wa gavamenti
Tayari huko Jamhuri ya Whattapp kazi imeanza tunaforwadiwa kujuwa balozi ni nini na kazi zake kana kwamba Watanzania ni mazezeta kiasi hicho.Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
mtu kutoka mkoa wa watu majasiri.Yaani umenifanya Nicheke hadi basi Mkuu.
Asante sana Mkuu. Sijui akina Lucas Mwashambwa (Mwanafunzi Wangu) na Chawa Dunduka ChoiceVariable wana hali gani baada ya Wewe Kunikongole / Kunisifia Kwako huku / hivi.Kongole,👍 mkuu Genta kwa uandishi makini na uliotukuka hakika tunakukubali
Hakika Mkuu.mtu kutoka mkoa wa watu majasiri.
nchi nzima ingekua kama Mbeya, Kilimanjaro na Mara. hao ccm wasingepeleka watu mputa