Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

Jamaa limefukia tonge kumi haraka haraka zimeteleza moja kwa moja bila hata kutafunwa then likaja kumwaga madini kabla tonge hazijapoa

Anyway, hilo dhehebu ni KKKT, lkn huyo unaesema mama anamuheshimu yeye si alikuwepo harvard jana, kwani amesharudi msoga?
Lakini Malasusa alikemea na kutoa rai kwa wachungaji kote nchini kuombea taifa na kukemea jambo hilo
 
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.

Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.

Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......

1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake

2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono

3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra

4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga

5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao

6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi

7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha

Nimem
Kayanunue kwa Tapeli wa Kiimani Mwamposa Tanganyika Packers Kawe.
Simply like that!
Forget about it
 
😀😀😀😀...kuna watu ni genius aisee, your among them, even before hayo kutokea, with a such kind of presentation ,have my salute brother
Asante sana Mkuu nimezipokea Credits zako zote kwa Mikono miwili. Haya akina Lucas Mwashambwa Mwanafunzi wangu na Chawa Dunduka ChoiceVariable ni lini na nyie Members hapa JamiiForums wawatambua kuwa mna Madini Vichwani na ni Great Thinkers kama GENTAMYCINE na wachache baadhi?
 
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.

Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.

Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......

1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake

2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono

3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra

4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga

5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao

6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi

7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha

Nimemaliza.
Tangu jana mnahangaika,kaongea mara moja tu,nyuzi kila baada ya robo saa..'zile sheria bado zipo'
 
Hapo kwenye think tank hapo ndiyo pamoto sana. GENTAMYCINE jiandae maana wewe ndiyo ulikuwa wa kwanza kimbelembele chako
 
Asante sana Mkuu nimezipokea Credits zako zote kwa Mikono miwili. Haya akina Lucas Mwashambwa Mwanafunzi wangu na Chawa Dunduka ChoiceVariable ni lini na nyie Members hapa JamiiForums wawatambua kuwa mna Madini Vichwani na ni Great Thinkers kama GENTAMYCINE na wachache baadhi?
Hivi na wewe una jiona upo sawa kichwani.
 
Unamuamini na unaliamini Kanisa la KKKT Mkuu?
Haeleweki yule dingi,na juzi alijikakamua baada ya kelele nyingi zingine zikisikika toka ndani ya Kanisa (vijana) kuhusiana na ukimya na ndiyo maana akajikaza kuongea na nadhani ilikuwa msibani......ila Malasusa alishasema kwa lolote lile yeye atakuwa upande wa gavamenti
 
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.

Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.

Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......

1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake

2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono

3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra

4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga

5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao

6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi

7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha

Nimemaliza.
Namba 6 = Jamiiforums. Wanataka kukata mkia wa JF siyo?
 
Back
Top Bottom