Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

----Nchimbi ni kichwa sana, nashauri, awe mshauri mkuu wa rais kwa masuala ya kisiasa------
#kwa wakati huu sifahamu hili limeshikwa na nani?
--Japo kuwakoromea kidogo mabalozi siyo jambo baya, ni kuwajulisha na kuwakumbusha hasa juu ya makubaliano ya VIENA.
 
Baada ya Ally kibao kutekwa na kuuwawa tukaletewa "movie" ya yusuph kagoma ,wazee wa Cuba tulishtukia mchezo.
Tayari baadhi ya masheikh wameshaanza porojo zao kutetea uovu.
Naungana na wewe Genta lazima Kuna jambo litaanzishwa
 
Mumeambiwa ukweli mweupe Sasa mnatapatapa tuu.

Hakuna kitu kama hicho so usijisumbue.
 
Baada ya Ally kibao kutekwa na kuuwawa tukaletewa "movie" ya yusuph kagoma ,wazee wa Cuba tulishtukia mchezo.
Tayari baadhi ya masheikh wameshaanza porojo zao kutetea uovu.
Naungana na wewe Genta lazima Kuna jambo litaanzishwa
Subirini goli la mama Zanzibar, Yanga watajazwa mapesa mbaki mnamshangilia mama mitano tena.
 
Huna lolote
 
Wnamuondolea uhalali wa kugombea mwakani!

Nakumbuka jk aliwahi sema"awamu ya kwanza unafanya ili uchaguliwe tena,awamu ya pili unafanya ili kuacha kumbukumbu"!

Sasa kama hii ni awamu ya kwanza na anafanya Ili kuchaguliwa Tena,inakuaje kuwe na Teka Teka ,poteza poteza ,ua ua!!?Kuna shida mahali !!
 
The demage has already be done, and it's far away from being reversible....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…