Mnachihangu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2022
- 890
- 1,022
Kinachosababisha mchezaji kulipwa mshahara mkubwa unakijua?Labda kuna kitu unashindwa kuelewa. Ninahisi unadhani klabu huwa inakaa kikao na wachezaji wote kwa pamoja na kuanza kuamua, wewe tukulipe kiasi hiki na yule tumlipe kiasi hiki. Mikataba si hivyo, kila mchezaji anazungumza kivyake na klabu. Kwa hiyo usije kushangaa kusikia Kambole (ingawa hachezi kabisa) analipwa mshahara mkubwa kuliko Mayele! Ni jambo la kawaida kabisa katika mikataba, na ndio maana vilabu huwa vinaogopa kuvunja kienyeji mikataba na wachezaji, ni gharama kubwa mno, sana sana utakuta vinamvumilia mchezaji, akimaliza muda wake vinapumua
Ndio nakijua, ni makubaliano ya yeye mchezaji na klabu. Wala Kagere hahitaji kujua Bocco analipwa kiasi gani, kila mtu ana reference zakeKinachosababisha mchezaji kulipwa mshahara mkubwa unakijua?
Kuendesha IST ndio kutokuwa na pesa? ichunguze vizuri akili yako.Faisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
Kwahiyo Ricardo momo ndio source yako? Na siyo CEO wa Simba?Mara ya mwisho nilimsikia Ricardo Momo akisema mchezaji mzawa anayeongoza kwa mshahara mkubwa ni John Bocco, akipokea Milioni 12 kwa mwezi.
Manula bado yupo na jemedari.Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi dola milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa japa bongo, kunawea kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani milioni 7 kila mwezi ?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.
John Boccco nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka ila kipindi yupo Hot kuna uwezekano mkubwa hakuna mzawa aliekuwa anamikia kwa mshahara.
Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba kachoka kulipwa mshahara wa kawaida na Meneja wake hana uwezo wa kuwashawishi wahindi wa pale simba wampe Manula mshahara anaostahili
Ndiyo, ndiye ‘source’ yangu ndiyo maana nimemtaja.Kwahiyo Ricardo momo ndio source yako? Na siyo CEO wa Simba?
Yule ni fabrizio mmbea, aslimia 90 hua zina ukwelKwahiyo Ricardo momo ndio source yako? Na siyo CEO wa Simba?
Jamaa upo mbali sana, na sijui unachoona cha ajabu ni nini kwa mchezaji kumzidi mbunge. Kwa hiyo kwako wewe wabunge ndio wenyewe? 🤣🤣🤣Eti 22 😆😆😆😆😆😆 ambapo ukifanya milion 22×miezi 12= milioni 264😆😆😆 kiasi kwamba mapato ya chama ni zaidi ya mbunge wa bunge la jamhuri la tanzania kwa mwaka........tena anaetoa hizo hela ni brother muddy anaegoma kutoa bilion 20
John Bocco kiwango kimepungua sana kwa sasa, Nadhani hata Mo kapata kisingizio cha kumpunguzia
Mtoa mada uliza kwanza siyo unakuja na assumption zako , apo simba Erasto nyoni tu anakunja 8m kwa mwezi mpaka leo hii na namba apati mara kwa mara chama anachukua 22m, morrison 18m, mkude 8m, manura 7m, kapombe 5, mayele 12m, feisal 6m..
ofa waliyompa Azam feisal ni kufuru yani kwa mkataba wa miaka 5 akimaliza mkataba tayari ni milionea kazi kwake sasa abaki yanga au aende kuchukua mihela azam akumbuke tu kuwa izi timu azinaga shukrani ngasa alikataa dola 40000 kwa mwezi sudani wazèe wa yanga wakamfungia hotelini ili waarabu wa sudan wasikutane nae, leo hii anagombana na walinzi wa uwanja akiforce aingie bure uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani ngasa ukimsikia jinsi anavyoelezea mwenyewe anatia huruma yani anajuta sana ndio ivyo bahati uwa airudi mara mbili amekataa kibunda tena chenye mkataba wa miaka 5 sasa piga iyo hela kwa mwezi kwa miaka 5 angekuwa na bei gani kwa miaka 5Aisee! Zaidi ya millioni 100, umenichekesha hapo kwenye kugombana na walinzi.
Yani ngasa ukimsikia jinsi anavyoelezea mwenyewe anatia huruma yani anajuta sana ndio ivyo bahati uwa airudi mara mbili amekataa kibunda tena chenye mkataba wa miaka 5 sasa piga iyo hela kwa mwezi kwa miaka 5 angekuwa na bei gani kwa miaka 5
Mnazijuaje hela za watu?Manura anachukua 9, mkataba mpya.
Mikataba hio huwa ina vipengere vingi sana, Tena mlipaji awe Mhindi ndio vitajaa zaidi, Kuna vipengere vinacheza na maneno kisheria ila uhalisia ni kwamba mchezaji atalipwa kidogo kiwango chake kikipungua.Usichanganye kati ya kiwango na mkataba. Unafikiri ni kwa nini Simba walimtengenezea zengwe Dejan "Lete Mzungu"? Ni kwa sababu mkataba waliouingia unawafunga kumlipa hata kama kiwango ni kidogo au kimeshuka, na njia pekee za kuepuka kuingia hasara ni kuuvunja mkataba, maana hakuna kitu kinachoitwa kupunguza mshahara
Sa hizi ashakuwa masikini hana hata hela ya kuingilia uwanjaniNgasa ni mpuuzi sana yule atakufa lofa tena atakuwa mlinzi wa magetini. Unatafutwa upewe pesa ndefu anajificha Magomeni kazi kuoa tu. Hopeless sana anayefuatia ya FeiToto asipokuwa makini atamalizia mpira wake hapo Kaunda Stadium.
Then itakusaidia nini?Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi ?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake Gsm anammwagia pesa ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.
John Boccco alikuwa anakimbiza kwenye list lakini kwa sasa nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka tofauti na kipindi yupo Hot, kwa pale simba namna wahindi walivyo strict kwenye kupunguza matumizi ili faida iwe kubwa hata hio mikataba ya wachezaji itakuwa imejaa sana vipengere vya kuwapunguzia malipo yao viwango vikishuka, unadhani hata mchezaji akiviona hivyo vipengere ataacha ? Mikataba ya kihindi huwa inamlinda sana mhindi apunguze malipo uwezo ukishuka ili kumzuia hasara, Mhindi ni mfanyabiashara strict sana, Huenda Bocco alikuwa anakunja 12 M akiwa hot lakini kwa sasa hata 5 anaitafuta kwa tochi, Na analipwa kulingana na makubaliano ya mkataba wenye vipengere vya kuzuia hasara kwa mhindi.
Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level japo anazikaribia, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba halipwi anachostahili na meneja wake hana utaalam wa kutosha (negotiation skills) kuwashawishi wahindi wa pale simba kumlipa mshahara mnono kulingana na mchango wake kwenye timu.
CV ya Chama au Aziz Ki(MVP wa ligi ya Ivorycoast) ilivyo utamlipa mil 5?Acheni ujinga ligi ya Tanzania hakuna mchezaji analipwa milion kumi
Wachezaji kutoka nje wanalipwa chini ya million tano kwa mwezi tena wale wenye majina
Wazawa wenye majina milion mbili au milion