Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

Una akili za kimasikini sana, CAG mstaafu alikuwa anaendesha IST kwenda nayo ofisini. Je alikuwa hana hela?
Hana hela ndio kila siku vilio Kwenye vyombo vya habar
 
Nyie ndio hua mnatapeliwa kizembe ukiona mtu ana kitambi na simu nyingi unajua tajiri
Au nikuwekee picha ya gari lake.

Nenda pale kariakoo Lumumba Street kuna jamaa anauza Rims za Magari kesho utamkuta mchezaji wako
 
Huu ndiyo ujinga wa Watz wengi , mada hii haina jipya zaidi imekuja kumjadili Mohammed Dewji tu nothing more.

Kama unaongea ishu ya maslah kwa taifa sharti uongee kwa upana stahiki sio blahblah kama hizi , mada inahusu mishahara ya wachezaji mtu anaenda kuandika habari za Mohammed Dewji.

Badilika mtoa post , kama mishahara huijui kaa hivyohivyo ,mbona ya kwako hatuijui?
 
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.



Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi ?



Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake Gsm anammwagia pesa ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.



John Boccco alikuwa anakimbiza kwenye list lakini kwa sasa nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka tofauti na kipindi yupo Hot, kwa pale simba namna wahindi walivyo strict kwenye kupunguza matumizi ili faida iwe kubwa hata hio mikataba ya wachezaji itakuwa imejaa sana vipengere vya kuwapunguzia malipo yao viwango vikishuka, unadhani hata mchezaji akiviona hivyo vipengere ataacha ? Mikataba ya kihindi huwa inamlinda sana mhindi apunguze malipo uwezo ukishuka ili kumzuia hasara, Mhindi ni mfanyabiashara strict sana, Huenda Bocco alikuwa anakunja 12 M akiwa hot lakini kwa sasa hata 5 anaitafuta kwa tochi, Na analipwa kulingana na makubaliano ya mkataba wenye vipengere vya kuzuia hasara kwa mhindi.




Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level japo anazikaribia, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba halipwi anachostahili na meneja wake hana utaalam wa kutosha (negotiation skills) kuwashawishi wahindi wa pale simba kumlipa mshahara mnono kulingana na mchango wake kwenye timu.
Chama analipwa 15m
Azizi ki 20m
Mayele 13m

Kapombe
Manula
Mohamed Hussein

Wote wanalipwa 7m
 
Acheni ujinga ligi ya Tanzania hakuna mchezaji analipwa milion kumi

Wachezaji kutoka nje wanalipwa chini ya million tano kwa mwezi tena wale wenye majina

Wazawa wenye majina milion mbili au milion
Wewe ndio uache ujinga

Hio millioni kumi ni mishahara ya kawaida sana kwa hizi timu kubwa za bongo

Miaka kadhaa iliyopita kipre tcheche aliekuwa azam alikuwa anachukua 20 million kwa mwezi ijekuwa sasa!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom