vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
CV ya Chama au Aziz Ki(MVP wa ligi ya Ivorycoast) ilivyo utamlipa mil 5?
Hana hela ndio kila siku vilio Kwenye vyombo vya habarUna akili za kimasikini sana, CAG mstaafu alikuwa anaendesha IST kwenda nayo ofisini. Je alikuwa hana hela?
Dah masikini fei ana drive ISTFaisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
Nyie mnaoita wenzenu masikini hua mna nini?Sa hizi ashakuwa masikini hana hata hela ya kuingilia uwanjani
Nyie ndio hua mnatapeliwa kizembe ukiona mtu ana kitambi na simu nyingi unajua tajiriFaisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
Wakienda hospital huamini kua daktari ni yule mwenye kitambi na kuvaa miwaniNyie ndio hua mnatapeliwa kizembe ukiona mtu ana kitambi na simu nyingi unajua tajiri
Wakati wewe unamuona Huyo mchezaji Azam TV wenzio tunashinda nae hapa Avic Town - Kigamboni, shwain wewe.Nyie ndio hua mnatapeliwa kizembe ukiona mtu ana kitambi na simu nyingi unajua tajiri
Au nikuwekee picha ya gari lake.Nyie ndio hua mnatapeliwa kizembe ukiona mtu ana kitambi na simu nyingi unajua tajiri
Wewe ndio unaita watu masikini harafu unaapata mda wa kushida vijiweni?Wakati wewe unamuona Huyo mchezaji Azam TV wenzio tunashinda nae hapa Avic Town - Kigamboni, shwain wewe.
Chama analipwa 15mKwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi ?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake Gsm anammwagia pesa ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.
John Boccco alikuwa anakimbiza kwenye list lakini kwa sasa nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka tofauti na kipindi yupo Hot, kwa pale simba namna wahindi walivyo strict kwenye kupunguza matumizi ili faida iwe kubwa hata hio mikataba ya wachezaji itakuwa imejaa sana vipengere vya kuwapunguzia malipo yao viwango vikishuka, unadhani hata mchezaji akiviona hivyo vipengere ataacha ? Mikataba ya kihindi huwa inamlinda sana mhindi apunguze malipo uwezo ukishuka ili kumzuia hasara, Mhindi ni mfanyabiashara strict sana, Huenda Bocco alikuwa anakunja 12 M akiwa hot lakini kwa sasa hata 5 anaitafuta kwa tochi, Na analipwa kulingana na makubaliano ya mkataba wenye vipengere vya kuzuia hasara kwa mhindi.
Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level japo anazikaribia, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba halipwi anachostahili na meneja wake hana utaalam wa kutosha (negotiation skills) kuwashawishi wahindi wa pale simba kumlipa mshahara mnono kulingana na mchango wake kwenye timu.
Wewe ndio uache ujingaAcheni ujinga ligi ya Tanzania hakuna mchezaji analipwa milion kumi
Wachezaji kutoka nje wanalipwa chini ya million tano kwa mwezi tena wale wenye majina
Wazawa wenye majina milion mbili au milion
$3000=6,900,000/=Wanapata.. john bocco amekunja zaidi ya hizo toka yupo azam.. na hata alipoenda simba akawa anakunja zaidi ya hizo usd 3000