Kamaliza F6 ana qualify university badala yake akaanzie diploma then arudi university? Hakuna kitu kama hiko!Ikumbukwe kuwa kuna mwenye diploma na kasoma 5&6 (A-level) then kaenda degree kupitia pass mark za diploma
Route ya F5 inabeba grades za juu; route ya certificate/diploma inabeba wenye grade za chini. The reason is obvious.Pamoja na kuwa waliopita Diploma (kutokea kidato cha nne) wanaweza kuwa watendaji wazuri kwa kuwa wamefanya mazoezi mengi; ILA Waliopita kidato cha tano na sita wanapata Confident na uelewa wa haraka .
Ukifuatilia soko la ajira kwa sasa linahitaji mtu mwenye ujasiri/Confident ya kujieleza kama Faru John na hapo ndipo wale waliopita kidato cha sita wanapo waacha wale wa Diploma. Sielewi kwa nini ila waliotokea Diploma weeengi wao ni waoga waoga....
Wanaohusika na ajira/Interview watanielewa....
They're very rare compared wanapenda six later chuo.Unatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.
Usikariri
Unakuta Hana Alama za kwenda kusoma bachelor so inabidi aunge diploma later bachelorIkumbukwe kuwa kuna mwenye diploma na kasoma 5&6 (A-level) then kaenda degree kupitia pass mark za diploma
Hapo anaenda kupata bachelor of engineering in xxxxx engineering uelewe lakiniInategemea na diploma gani, kuna watu wanaenda vyuo vya DIT, MUST, ATC na vinginevyo wakiwa na matokeo mazuri kabisa.. Umefeli form 4 huwezi kwenda kusoma DIT kizembe zembe.
Watabisha Mana ni kawaida ya ubongo kufosi inachotaka kiwe ukweliRoute ya F5 inabeba grades za juu; route ya certificate/diploma inabeba wenye grade za chini. The reason is obvious.
Diploma anajua how Sana Ila why kwa mbali like 25% Ila kwa advance anaenda kusoma ndani zaidi Why and howKuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
Kuna Bsc and Be usirahishe maishaWote sawa ndiyo maana wanaitwa degree holders ila aliyepita 5 na 6 anakuwa faster
Huyo akapenda Ila nature haijataka kumpeleka huko Ila akajipeleka hukoUnatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.
Usikariri
Unajidanganya. Uliza wanaosoma diploma later wanafunga udsm kinawachokea labda dit must and atc kinaendana nao.uelewa wa juu juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AINA YA VYETI WANAVYOMILIKI.
Si anaogopa mziki wa advance, anaweza zungusha 0 4m 6, akarudi kutumia kile cha 4, wengi wanaoenda dip hawajiamini ktk level ya advance.Unatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.
Usikariri
Wengi hawajiamini ktk kutoboa advance, ndo wanakimbilia dip, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na diploma gani, kuna watu wanaenda vyuo vya DIT, MUST, ATC na vinginevyo wakiwa na matokeo mazuri kabisa.. Umefeli form 4 huwezi kwenda kusoma DIT kizembe zembe.
Acha kupotosha watu kwa jambo usilolijua vizuri. Kuna system ya technical school, hivyo huyo mwanafunzi anasoma engineering na architecture na hawezi kusoma kozi yoyote zaidi ya PCM. Hivyo njia yake nzuri ni kwenda technical college (DIT, MUST, ATC na karume). Bado hata umepitia secondary education unaruhusiwa kwenda kusoma technical education. Watu wameenda diploma na one za point 7Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Ila kibongo bongo bora diploma haswa za engineering kuliko cheti cha form 6. Kifupi ukitoka diploma unakuwa na taaluma kuliko form 6.Wengi hawajiamini ktk kutoboa advance, ndo wanakimbilia dip, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ana 1 nzuri, anaenda dip, una muuliza kwann unaenda huko, si uende advance, anajibu nikifeli 4m 6 je?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi waliopita diploma ni vilaza walichemka either form four au sixSi anaogopa mziki wa advance, anaweza zungusha 0 4m 6, akarudi kutumia kile cha 4, wengi wanaoenda dip hawajiamini ktk level ya advance.
Utofauti ni vyeti Ila content kuanzia diploma na degree zinafanana 70% ikiwa utasoma diploma ni bora katika degree uchukue degree tofauti.
Kuhusu uelewa inategemea na msomaji ikiwa anajiongeza kutafta maarifa nje ya yale anayopewa kutoka Kwa lecturer atakuwa smart sana.