Sio kweli acha uongoUsually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Acha uongo hakuna unachokijuaUnajidanganya. Uliza wanaosoma diploma later wanafunga udsm kinawachokea labda dit must and atc kinaendana nao.
Kuna Bachelor of science in electrical engineering
Na Kuna bachelor of engineering in electrical engineering.
Iyo Bachelor of Sayansi udsm.
Huyo wa diploma hawawezi kujibu maswali ya why Mana Hana science behind of Engineering Bali akafundishwa Engineering tu. Hata physics aliyo nayo Ni ya olevo pia hesabu hajasoma topics zote Bali Ni baadhi tu ambazo anaenda kuzitumia aka bam fulani.yule wa advance anadili na fupa lililomshinda fisi kitu pure mathematics sio bam iyo
Sio kweli kwamba ukisoma Diploma ni elimu ya kuunga ungaUkianza na certificate/diploma baadaye ndo ukatafute degree ni wazi kuwa unakuwa na elimu ya kuunga unga. Hata kama una div.1 form 4, ukienda huko utakutana na vilaza kibao halafu utashuka viwango tu.
Kama akili inamudu acha mtoto afanye A level halafu aende kwenye degree.
Kujaribu kulinganisha diploma ya CBE na degree ni kichekesho
Mtt wa brother ana Div 1 form 4 na keshasema hataenda 5&6, anatafuta chuo kusomea software/computer engineering...siku hzi vijana wengi wameshagundua kusoma advance ni kupoteza muda tuUsually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Yaani mimi kosa nililofanya kwa mtt wangu wa kwanza sitalifanya kwa wtt wengine, wanaoendelea wakimaliza tu form 4, wanaenda chuo...tunapoteza muda na pesa.A level ni kupoteza muda tu haina faida yoyote. Dunia imebadilika kwa sasa mtu anahitaji skills zaidi kuliko knowledge za uongo na ukweli (maneno mengi yasiyo na maana).
Ilipaswa mwisho uwe o level tu. Hata shule ya msingi mwisho uwe darasa la sita. Kuwe na mfumo wa kupitia veta kabla ya kuendelea hadi degree. Hii itasaidia kuwajenga vijana katika kupambana na hali ya sasa ya ukosefu wa ajira.
Naona hapa watu wanajazana ujinga tu kuwa A level ni ngumu mara Diploma ni bora alafu wote kwenye ajira ni hola/sifuri/null/non sense/hamna lolote.
Naongea kwa uzoefu na kumaanisha maana nimeshuhudia level zote na sijaona lolote la maana.
Kwa kweli kuwahimiza vijana wang'ang'anie elimu hii ya kizamani ni kuwaharibia maisha yao.Yaani mimi kosa nililofanya kwa mtt wangu wa kwanza sitalifanya kwa wtt wengine, wanaoendelea wakimaliza tu form 4, wanaenda chuo...tunapoteza muda na pesa.
Sio unamwambia kijana elimu ndio ulithi wake alafu elimu yenyewe ndio hiiiii! Hiyo ilikuwa zamani sio sasa.Kwa kweli kuwahimiza vijana wang'ang'anie elimu hii ya kizamani ni kuwaharibia maisha yao.
Wazazi tubadili formula kijana tumuandae kulingana na dunia inavyobadilika. Mpe elimu(skills based) ambayo unaona kwa asimilia 99 atatoboa na pia muandalie mtaji.
Hali sio kama zamani unamaliza chuo na kuingia ofisini. Ofisi tuwaachie wakubwa wa nchi waweke watoto wao.
Kijana atakuja kukushukuru sana.
Usikatae Mkuu, mfano wapo Walimu wengi wamesoma f5&6, then wakaenda Dip na baadae wakaenda University.Kamaliza F6 ana qualify university badala yake akaanzie diploma then arudi university? Hakuna kitu kama hiko!
Jamaa anajifanya mjuaji sana, tuna vijana wana DIV 1 za form four na wanaamua kujiunga na diploma na ni wazuri sana class, tena hadi fani za Civil, Electrical, Architecture na zinginezoUnatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.
Usikariri
ReasoningAnakuwa fasta kwenye nn
Uongo!Mmoja kapoteza muda kusoma 5-6, mwingine katumia muda vizuri kusoma vitu vyenye tija.
Nahisi 5-6 ni sehemu ya watoto kukua ndomana elimu ya kiwango hicho haina tija. Niko tayari kukosolewa
Sawa mkuu, huo ubora wa Muhitimu wa kidato cha sita unasababishwa na kipi haswa kwenye sayansi ya uhandisi ambacho huyu wa diploma amepungukiwa.Uongo!
Inategemea na aina ya degree, mfano kwenye Engineering, mtu anayetoka diploma alafu akaanze Bachelor of Science in Engineering huezifananisha ubora wake na mtu wa form six, kwa mtu wa diploma suitable degree ni Bachelor of Engineering though kwa mtu wa advance hatopata shida sana kama anakichwa chepesi na alikuwa anaelewa vitu alivyokuwa advance otherwise hatokuwa vizuri sana kama aliyetoka diploma
Kidato cha sita na tano wanamsingi mkubwa wa theory, vitu kama solid state physics, current electricity , Mechanics, pure Mathematics etc. Ambavyo ukija kwenye Bachelor of Science ni lazima manake hapa inapigwa the Engineering and Science behind that engineering, Tofauti na Bachelor of Engineering ambayo inabase sana na Engineering alafu science inakuwa haipigwi kiviiile ndo mana wengi wanakuwa vizuri sana interms of technical skills (sisemi kwamba ni mbaya) so, ni rahisi kwa diploma kufanya bachelor of Engineering kuliko Bachelor of Science (simaanishi hawezi, ila kwa aliyepitia advance anakuwa yupo vzr zaidi kwa mfumo wa BscSawa mkuu, huo ubora wa Muhitimu wa kidato cha sita unasababishwa na kipi haswa kwenye sayansi ya uhandisi ambacho huyu wa diploma amepungukiwa.
Mmoja ana hands on experience through diploma, mwingine ndio hana experience but large theoretical knowledgeKuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
Kwanza jiulize kwanini kuna diploma? Alafu kuna degree? Sisi waTz tumezoea kutumia vibaya raslimali zetu. Diploma ilikuwa mahususi kwa wanafunzi wenye ufaulu wa chini kwa ajili ya kada ambazo zinawasaidia Mainjinia- "teknishani". Hii kada ya "technician" huwa wanajifunza sana utendaji kwa mikono, wakati " Engineers" wanajifunza nadharia ili kuvumbua na kutatua matatizo katika utendaji wa mitambo , uendeshaji kwa faida na matatizo mengine makubwa makubwa.Uongo!
Inategemea na aina ya degree, mfano kwenye Engineering, mtu anayetoka diploma alafu akaanze Bachelor of Science in Engineering huezifananisha ubora wake na mtu wa form six, kwa mtu wa diploma suitable degree ni Bachelor of Engineering though kwa mtu wa advance hatopata shida sana kama anakichwa chepesi na alikuwa anaelewa vitu alivyokuwa advance otherwise hatokuwa vizuri sana kama aliyetoka diploma