Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
Screenshot_20260810_094322_Google.jpg

Screenshot_20260810_094429_Google.jpg
 
Kama una pesa ya kuunga Unga!!!!! dar es salaam unaish maisha ya kugombania dala dala ,, maji unahifadhi kwenye ndoo, sebule imepambwa na ndoo za kila rangi, jiko la gesi mabeseni ya vyombo wewe ni maskini unayepoteza muda na kuua ndoto zako stuka kwenye huo mji.
 
Back
Top Bottom