Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga mambumbumbuMichuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Kwaiyo kule control room walikua wanaangalia nini kama hakuna goal line technology walitumia hisia binafsi au? Kama camera ya glt haipo basi zitumike izo izo za var.Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Mkuu refari halazimiki kwenda kureview kila tukio tataNilijuwa unaleta video kumbe umeleta hizi takataka za kuokota mitandaoni?
Kilichomshinda refa kwenda kureview VAR ni kitu gani?
Mkuu refalii halazimiki kuangalia kila reviewNasubiri ajibu hili swali kwa usahihi. Aeleze ni kwa nini faulo ya Lomalisa, mwamuzi aliamua kujiridhisha kuitazama tea kwenye VAR ya uwanjani! Halafu kwa goli lenye utata kama lile la Aziz Kii, aliamua kupuuza.
Mkuu naamini video unayo au una access nayo......... itazame kwa utuoUmefafanua nini sasa hapo zaidi ya kuleta utata
China ipi we bwege?Lile la jana kwenye game ya Yanga na Mamelodi ukiweka mahaba pembeni sio goli...ila watu wanaangepaste katika angel ambayo unaliona goli ila ule mpira haukuvuka mstari wote aslimia mia...ila mashabaki wamepata kichaka chao....nakumbuka hata kombe la dunia 2022 game ya spain na China utata kama huo ulikuwepo.
Kule wana review matukio mkuuKwaiyo kule control room walikua wanaangalia nini kama hakuna goal line technology walitumia hisia binafsi au? Kama camera ya glt haipo basi zitumike izo izo za var.
Sasa hiki ulichokiweka hapa umekiokota wapi? Unakataa ushabiki halafu unaleta mahaba?Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Goal line technology inaamua yenyewe, hakuna anaye iamuliaUnasema kinachoamua mpira kuvuka mstari wa goli ni Goal Line Technology ambayo Jana haikuepo uwanjani lakini VAR haiamui goli kuvuka mstari na Jana ilikuepo uwanjani . Swali linakuja Je, baada ya mpira kogonga nondo ya juu na kutua chini pale golini refa alisimamisha mechi na alionekana kufanya mawasiliano na watu wa VAR baadae alionesha ishara ya kukata mikono kuonesha halikuwa goli , kwanini refa awasiliane na watu wa VAR huku akifahamu hawahusiki na suala lile ?
hiyo image uliyo share siyo ya tukio la mechi ile, bali ni kwa ajili ya kuifafanua sheria husika.Mkuu video si unayo?
Angalia kisha tafsiri kupitia mchoro huu wa sheria ya goli👇👇
Mkuu hebu share wewe screeshot ambayo mpira umegusa chinihiyo image uliyo share siyo ya tukio la mechi ile, bali ni kwa ajili ya kuifafanua sheria husika.
Unaionaje hiyo uliyo share ingawa mpira upo hewani?Mkuu hebu share wewe screeshot ambayo mpira umegusa chini
Nimejaribu kutumia video ambayo ni clear zaidi na nimepata hii picha 👇👇
Hilo nafahamu mkuu kwamba Goal Line Technology inatoa goal decision automatic bila kuambiwa na mtu. Sasa Jana technology hii haikuepo uwanjani. Walitumia njia Gani kuamua kuwa halikuwa goli wakati tunaambiwa VAR haitakiwi kutumika kwenye mipira yenye kuvuka mistari kama ya Jana?Mkuu
Goal line technology inaamua yenyewe, hakuna anaye iamulia
Mpira ukitoa au ukiingia system inakuambia pale pale
Sasa kama VAR inaweza kutumika kuangalia matukio yenye utata kama la Jana Kwa Nini refa hakutaka kwenda kujiridhisha mwenyewe ?.VAR kazi yake ni kureview matukio yoyote
VAR haiamui bali inasaidia kuliangalia tukio ili kutoa maamuzi
Punguza ushabiki . Ongelea mechi tulioiona wote .Shuti la Aziz lilikua reviewed na VAR na ikaonekana mpira haujaingia golini kwa asilimia 100
Angalia mchoro wa sheria ya goli kisha angalia tena video mpira unapotua