F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Watu wa VAR hawahusiki katika kutoa maamuzi , anayehusika ni REFA PEKE YAKE. Watu wa VAR wanajukumu la kumsaidia refa kuliona tukio katika angle na position tofauti Ili mwisho wa siku AKAAMUE MWENYEWE .Mkuu anaetoa maamuzi kutokana na review za VAR ni maafisa wa VAR au refa
Hapa uko sahihi. Sasa tukio la Jana lilikuwa na utata Kwa Nini hakwemda kufanya REVIEW Refa mwenyewe Ili aje kufanya MAAMUZI kama alivyokwenda kwenye tukio la Lomarisa?Refa mara nyingi ana review video kwenye matukio ambayo aliyatolea maanuzi na VAR ikaonyesha tofauti hivyo anaitwa kwenda kujiridhisha
Au kama kuna tukio hakuliona lakini limepita na VAR ikalibaini .
Narudia Tena Maafisa wa VAR hawana mamlaka ya mwisho kumpa REFA KUAMUA MATOKEO YA TUKIO.Kuna matukio yakitokea wachezaji wakalalamika anaweza kwenda kuangalia au maafisa wa VAR wakaangalia na kumpa matokeo
UAMUZI WA MWISHO uwanjani unafanywa na Refa wa kati sio watu wa VAR.Game ya jana baada ya lile shuti refa aliwaailiana na maafisa VAR na baada ya review wakamwambia HAKUNA GOLI.
Mwenye mamlaka ya kusema HAKUNA GOLI ni refa wa kati . Sasa refa wewe ndo mwamuzi wa mwisho unaletewa malalamiko na wachezaji kuwa hili ni goli hutaki kwenda kujiridhisha unawaambia watu wa VAR waliangalie na KUAMUA Sasa hapo kazi Yako Nini?
Kwani refa umeletewa malalamiko na wachezaji uwanjani unashindwa vipi kuwaambia watu wa VAR nipeni review ya tukio lililotokea dakika hii na sekunde hii then wewe Kwa MACHO Yako ukaenda kujionea? . Yaani refa unasubiri Hadi watu wa VAR wakwambie kaangalie tukio furani et kama Kuna ULAZIMA ?🤣🤣Lakini wangeweza pia kumwambia akajiridhishe iwapo wangeona kuna ulazima huo