Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

Yanga mambumbumbu
 
Kwaiyo kule control room walikua wanaangalia nini kama hakuna goal line technology walitumia hisia binafsi au? Kama camera ya glt haipo basi zitumike izo izo za var.
 
Heri angeenda kuchungulia hata hiyo VAR yenyewe tu kuliko alichofanya as if haukuwepo utata kabisa!
 
Nilijuwa unaleta video kumbe umeleta hizi takataka za kuokota mitandaoni?

Kilichomshinda refa kwenda kureview VAR ni kitu gani?
Mkuu refari halazimiki kwenda kureview kila tukio tata
Matukio mengine maafisa wa VAR wanamaliza na kumpa maelekezo refa

Nimeweka video na sijui kwanini mod wameitoa
 
Nasubiri ajibu hili swali kwa usahihi. Aeleze ni kwa nini faulo ya Lomalisa, mwamuzi aliamua kujiridhisha kuitazama tea kwenye VAR ya uwanjani! Halafu kwa goli lenye utata kama lile la Aziz Kii, aliamua kupuuza.
Mkuu refalii halazimiki kuangalia kila review
Naamini unalitambua hilo

Hapa tujadili je mpira ulivuka line 100%?
 
Umefafanua nini sasa hapo zaidi ya kuleta utata
Mkuu naamini video unayo au una access nayo......... itazame kwa utuo

Hakikisha una stop pale mpira unapodunda
Angalia kama umegusa mstari hata kiduchu sio goli na kama umezama wote ni goli

Angalia bila mihemko

Angalia sheria ya goli kwenye hii pichaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • EC59CED7-443C-4E89-9E2A-2D7DEDE1D8D0.jpeg
    65.3 KB · Views: 2
China ipi we bwege?
 
Kwaiyo kule control room walikua wanaangalia nini kama hakuna goal line technology walitumia hisia binafsi au? Kama camera ya glt haipo basi zitumike izo izo za var.
Kule wana review matukio mkuu

Goal line technology inatoa matokeo yenyewe automatic
 
Sasa hiki ulichokiweka hapa umekiokota wapi? Unakataa ushabiki halafu unaleta mahaba?
 
We differ in thinking capacity and on handling things
Hakikisha unasimamisha video exactly mpira unapogusa chini kisha tafsiri kwa kutumia mchoro huu wa sheria za goli πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 41970CC5-31E7-4964-A313-06C4E4AC580F.jpeg
    65.3 KB · Views: 2
Unasema kinachoamua mpira kuvuka mstari wa goli ni Goal Line Technology ambayo Jana haikuepo uwanjani lakini VAR haiamui goli kuvuka mstari na Jana ilikuepo uwanjani . Swali linakuja Je, baada ya mpira kogonga nondo ya juu na kutua chini pale golini refa alisimamisha mechi na alionekana kufanya mawasiliano na watu wa VAR baadae alionesha ishara ya kukata mikono kuonesha halikuwa goli , kwanini refa awasiliane na watu wa VAR huku akifahamu hawahusiki na suala lile ?
 
Sasa hiki ulichokiweka hapa umekiokota wapi? Unakataa ushabiki halafu unaleta majaba?
Mkuu video si unayo?
Angalia kisha tafsiri kupitia mchoro huu wa sheria ya goliπŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 33CA95EF-EA91-414E-AA8B-94376A8C0B3E.jpeg
    65.3 KB · Views: 2
Mkuu
Goal line technology inaamua yenyewe, hakuna anaye iamulia
Mpira ukitoa au ukiingia system inakuambia pale pale

VAR kazi yake ni kureview matukio yoyote
VAR haiamui bali inasaidia kuliangalia tukio ili kutoa maamuzi

Shuti la Aziz lilikua reviewed na VAR na ikaonekana mpira haujaingia golini kwa asilimia 100

Angalia mchoro wa sheria ya goli kisha angalia tena video mpira unapotua
 

Attachments

  • D4881D8B-1158-4A87-8B51-1D5453DD5AC5.jpeg
    65.3 KB · Views: 2
hiyo image uliyo share siyo ya tukio la mechi ile, bali ni kwa ajili ya kuifafanua sheria husika.
Mkuu hebu share wewe screeshot ambayo mpira umegusa chini

Nimejaribu kutumia video ambayo ni clear zaidi na nimepata hii picha πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 4DF59815-2738-4B6A-9B7F-3FCD4AC16536.png
    1.4 MB · Views: 3
Mkuu hebu share wewe screeshot ambayo mpira umegusa chini

Nimejaribu kutumia video ambayo ni clear zaidi na nimepata hii picha πŸ‘‡πŸ‘‡
Unaionaje hiyo uliyo share ingawa mpira upo hewani?
 
Mkuu

Goal line technology inaamua yenyewe, hakuna anaye iamulia
Mpira ukitoa au ukiingia system inakuambia pale pale
Hilo nafahamu mkuu kwamba Goal Line Technology inatoa goal decision automatic bila kuambiwa na mtu. Sasa Jana technology hii haikuepo uwanjani. Walitumia njia Gani kuamua kuwa halikuwa goli wakati tunaambiwa VAR haitakiwi kutumika kwenye mipira yenye kuvuka mistari kama ya Jana?
VAR kazi yake ni kureview matukio yoyote
VAR haiamui bali inasaidia kuliangalia tukio ili kutoa maamuzi
Sasa kama VAR inaweza kutumika kuangalia matukio yenye utata kama la Jana Kwa Nini refa hakutaka kwenda kujiridhisha mwenyewe ?.
Wewe refa umeshaambiwa na watu wa chumbani kuwa tunahisi Kuna shida kwenye huo mpira kwanini hutaki kwenda mwenyewe kujiridhisha na marudio ya picha? . mbona tukio la Lomarisa alikimbia haraka kujionea.?
Shuti la Aziz lilikua reviewed na VAR na ikaonekana mpira haujaingia golini kwa asilimia 100
Punguza ushabiki . Ongelea mechi tulioiona wote .
Angalia mchoro wa sheria ya goli kisha angalia tena video mpira unapotua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…