Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

Upo sahihi, nilimwambia mtu hili swala siku ya mechi lakini kwa kuwa ushabiki umezidi akili ya kufikiria huwezi kuona kingine zaidi ya kuona umeonewa
 
Macho huna wewe.

Huna macho wewe.
Ule mpira haukugusa mstari.
Basi sawa tuseme uligusa ila hivi unajua kama ulivyodunda ulivuka mstari??ari??
 
Mkuu, kule kwenye chumba Cha VAR Kuna marefa pia sio wataalam wa IT tu, na wapo Zaid ya watatu washirikishana kabla ya kutoa maamuzi hivyo refa sio lazma kwenda kujihahakikishia, Mara nyingi refa anaenda kuhakikisha tukio ambalo hakuliona Au marefa wa VAR wamesema tofauti na alivyoamua. Mfano tukio la lomarisa, refa aliona ni faulo ya yellow card ila VAR wakamwambia ni red card akaenda kuhakikisha na akaona ni yellow card.

Kwa tukio la Aziz ki Kama Kuna makosa basi ni Kwa wale Watu wa VAR sio mwamuzi na Kama mwamuzi angekua na maelekezo basi angempiga lomarisa red card mapema ambayo isingekua na utata Kama lile goal. Angalia Hata mechi nyingi za ulaya sio Kila tukio refa anaenda kuhakikisha.

VAR haijaja kumaliza makosa ya waamuzi maana wanaoiendesha ni binadamu. Mimi mshabiki wa Liverpool mwaka juzi man city amechukia ubingwa Kwa tofauti ya point 1 na Liverpool ila man city mechi na Everton VAR ilimbeba na waliomba radhi Kwa Hilo, msimu Huu Liverpool na Spurs Luiz Diaz alifunga goal Watu wa VAR wakΓ‘angalia Kama Kuna offside wakakuta hakuna offside na wakamwambia refa ila refa hakusikia vzr akaweka offside mpira ukaendelea, Sasa Hiv tunafukuzana points na arsenal na man city wakati tulipaswa kuwa Mbali Zaid. Bahati nzuri wenzetu Hata wakifanya makosa ni wawazi na wepesi kuomba msamaha. Hata hiyo ya spurs vs Liverpool unaweza kuipata YouTube mpaka maongezi ya Watu wa VAR na pia waliapologoze. Nadhan Hata Africa tunatakiwa kufika huko, watoe video Au picha inayoonyesha msingi wa maamuzi yao na Kama wamekosea waombe radhi
 
Acha ubishi ndugu yangu.
Nini kuhusu picha wakati video zote zinaonyesha mpira wote kwa 100% ulikuwa ndani.
Marefa wa jana walizingua kukataa lile goli.
Utopolo walinyongwa kihuni na sio kisoka.
Kuna muda nadhani kila mtu aliona kivyake kwenye TV yake.
Maana mpira haukugusa mstari umedunda ndani ya Goli cm chache kutoka mstar wa Goal.
Hata hawa ambao wanadai mpira umegusa mstari huenda wako sahihi kutokana na Tv au simu Zao.
 
Hakika mkuu
 
Kuna muda nadhani kila mtu aliona kivyake kwenye TV yake.
Maana mpira haukugusa mstari umedunda ndani ya Goli cm chache kutoka mstar wa Goal.
Hata hawa ambao wanadai mpira umegusa mstari huenda wako sahihi kutokana na Tv au simu Zao.
Mkuu angalia tena video online kwa utuo
Hakuna video hata moja inayoonyesha mpira unadunda ndani ya mstari kwa 100%....... HAKUNA
 
Nasubiri ajibu hili swali kwa usahihi. Aeleze ni kwa nini faulo ya Lomalisa, mwamuzi aliamua kujiridhisha kuitazama tea kwenye VAR ya uwanjani! Halafu kwa goli lenye utata kama lile la Aziz Kii, aliamua kupuuza.
Mwamuzi alijua kama yanga ingepita basi mashabiki wa simba wangekoma
 
Mkuu angalia tena video online kwa utuo
Hakuna video hata moja inayoonyesha mpira unadunda ndani ya mstari kwa 100%....... HAKUNA
Ujinga ujinga tu na roho ya kimaskini ndivyo vinavyokutesa Kolowizards [emoji38]
 


The goal-line technology is super-fast in its calculations and can determine if the ball has crossed the line and send the signal of the outcome to the referee in a matter of seconds. Unlike the VAR which takes several minutes to analyze the situation.16 Nov 2018
Scorum is a sports ecosystem where everyone's rewarded β€Ί en-us
 
Mimi ni kama mandonga nikipigwa ni kama nimepiga..nikipiga nimepiga au hujanijua bado mtani mi sipendi stress huwa naforce furaha... [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…