Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Sahivi kumejaa Boda boda pale Masaki Mwisho kama Mbagala tu.
 
Umenikumbusha Tigo pesa na Mpesa idadi inazidi ya wakazi😅😅
 
Mkuu Kuna jambo kwenye logic yako hii linakosekana...
Sipend kuongelea sana mambo ya income kwa Tanzania maana ni taboo na matajir w a Tanzania wamejichanganya karibu kila Mahali.
Hoja ya uswazi, ni kama sinza flani hivi, ndiko Masaki inapoelekea... No HNWI atapenda kuish mazingira ya namna ile.

Hizo skyscrapers unazosema ndio zitaondoa kabisa hadh ya masaki kwa sabab ya security risks.
Bars, restaurants, shops, malls, street vendors, hospitals hotels.... na eneo ni dogo... kama kariakoo hivi.

Nakubali kwamba haitakuwa Uswaz kwa level za Tandika, lakini fikiria a person who can afford a rent of $60k to 120K p.a.

Yani hata akiona boda boda na vibajaj kwake ni some sort of identifiable risk...
Kumbuka hiyo ni premier residential in third world country...
If you know what I'm talking.
 
Na ndio hao wanaoleta vifremu
 
Hata tandale na migomigo hazikua za maghorofa, hotels na commercialization centers
 
Miaka ya zamani 80-90s ukisema unakaa Masaki ,Oysterbay,Upanga,Posta au Mikocheni ulikuwa unaogopeka......Ila kwasasa ukisema unakaa Mbweni(Zile Plots elfu 20 za Mkapa) unaogopeka....Masaki/Oysterbay wanakaa walinzi/wfanyakazi wa ndani tu siku hizi.
Huko mbweni nilifika ni balaa, hakuna mjengo wa kinyonge hata mmoja ingawa nyingi ni za wastaafu
 
Utabiri wangu, Dsm ya kishua ya miaka ijayo itakuwa Kigamboni, watu wanachelewa kujua tu.
 
Tatizo lilianza baada ya serikali kuuzia watumishi nyumba zake, Kila mmoja anafanya anavyotaka baada ya kuuziwa
 
Wazazi Wakizeeka na kuaga dunia watoto wanaishi kwenye majumba mazuri lakini ukute hawana kipato
Watu wanapokuwa na uchumi na kipato kizuri hujenga mijengo ya maana kipato kikipungua au kustaafu wanashindwa hata kuifanyia maintanance mijengo yao wakifa ndo kabisa mdogomdogo kauswahili fulani kanaanza

Nimeanza kuona hii kitu hata pale Mbezi Beach hata huko Mbweni itaenda mwisho wa siku vipato vikipungua itabaki historia

Haya ndio yanayotokea baadhi ya maeneo ya Masaki.
 
Wakatanue jiji huko wamewekewa miundombinu
Maeneo mengi tu mfano goba,madale mbezi kimara watu wamejenga wajuavyowenyewe ndomana hata nyumba hazikai kwenye mtaa

Ova
 
Mpangilio wa makazi sasa upo

Ova
 
Ni kama sisi huku wa
Chunya lupa tingatinga enzi hizo dhahabu tuliisoma tu kutoka katika historia
kwa yule jamaa wa Mali,
Mansakankanmusa.
Miaka ya zamani 80-90s ukisema unakaa Masaki ,Oysterbay,Upanga,Posta au Mikocheni ulikuwa unaogopeka......Ila kwasasa ukisema unakaa Mbweni(Zile Plots elfu 20 za Mkapa) unaogopeka....Masaki/Oysterbay wanakaa walinzi/wfanyakazi wa ndani tu siku hizi.
Obay masaki nayo ilichelewa sana kuwekwa miundo mbinu ya barabara

Ova
 
Sleep way yote ile ilikuwa mashamba ya mikonge

Ova
 
Maghorofa yanayojengwa masaki hayawezi kuwa kama ya Kariakoo, kwasababu viwanja ni vikubwa na kodi zitakuwa kubwa zaidi, kama kufanana basi kutafanana na Posta ila sio kariakoo
 
Ddm ilazo kila mtu anajenga fremu hili Ni ovyo sanaaa


Namkumbuka Dr matola alisema kbsa ukiona mtu anajenga frem kwenye makaz bas Ni kwamb mtu huyu Hana kipato Cha. Uhakika
 
Well explained.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…