Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Masaki ya leo sio ile tulivu ya kishua tena, limebaki jina tu.

Kuna ushamba katikati umetokea ata upanga wakati sisi tunakuwa yalikuwa maeneo ya wafanyakazi wa serikali wenye kipato cha kawaida hasa walimu. Eti siku hizi prime areas.

Yaani watu badala ya kutanua jiji wamevunja na kujenga maeneo hayo hayo machache na kuharibu mandhari ya maeneo; masaki kuna maeneo nilipita nikawa najiuliza hivi ndio hapa kweli ata kilima nyege sikukitambua niliposhuka kwa kushangaa.
Tatizo ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla;

Enzi hizo wakati naishi mimi:
Masaki ilikuwa ni Residential Area pekee huwezi kuta ofisi yoyote iwe ya serikali au taasisi binafsi ikifanya shughuli zake maeneo hayo.

Miaka hiyo Masaki huwezi kuta jengo lenye urefu wa ghorofa zaidi ya ghorofa tatu kwa uchache na upekee wake utakutana na mazingira ya namna hiyo kwny maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya flats yakiwemo maeneo kama ya TIB,THB na kule Harbors.

Masaki ya wakati huo wahudumu walikuwa hawarudi makwao zaidi ya kuishi kwenye nyumba za servants zilizokuwa nyuma ya nyumba kubwa za maboss wao

Wakati huo Masaki huwezi kuta watu wakiwa wamezagaa zagaa hovyo asilimia kubwa kwenye mtaa husika watu tulikuwa tukifahamiana kwa sura hata kama tulikuwa hatusalimiani.

Kwa kifupi mimi nimeishi na kukua kwenye mtaa wa Haile Selassie.
Mm naona Tanzania bado hatujachelewa sana kama tutasawazisha sasa hata kama itatuchukua miaka 30 ila tutakuwa na miji mizuri na iliyopangika vyema.

Muda ni huu..
 
Malizeni basi tumeshawaelewa watoto wa kishua,ila kuna mmoja nilikutana naye Kasulu maswekeche huko kapauka,sikuamini...
 
Sisi wengine kukaa kidogo maeneo hayo sio kuwa kwamba wazazi walikuwa na mawe sana ila ofisi ndio ziliwapa wakae maeneo hayo
Halafu mbona watu walikuwa wanaishi kawaida tu mfano mama mmoja mme wake alikuwa waziri wa fedha enzi za mkapa alikuwa anafuga kuku tu na kutuuzia watu wa maeneo hayo
 
Kusema kweli Masaki Obey wamewanyima barabara za mitaa zenye hadhi kwa muda mrefu sana! Sijui ni Kwanini hawaweki kwny mipango barabara nyingi zimechakaa sana.
Mvua zikinyesha ndio utazionea huruma barabara za Masaki na Oysterbay,Upanga na Posta..Yan kiuhalisia miundombinu ya barabara jiji la Dar es salaam bado kabisa,

Majuzi kuna meli ya waisrael/Wamarekani ilitia nanga kwa ajili ya utalii na moja ya ratiba ya utalii wao ilikua ni kutembea maeneo ya Dar es salaam ikiwemo kununua vinyago posta bahati mbaya siku wanaanza ratiba hiyo mvua ilinyesha kubwa kweli barabara zote hovyohovyo nikasema tumeshatia aibu kwa mara nyingine wataenda kuhadithia hili na hawatarudi tena kama kawaida inavyoonyesha kuwa watalii wengi wanaokuja Tanzania huwa hawarudi kwa mara nyingine tena...
 
Hapana kaka, labda kwa majina mengine to name a few, watu maarufu nilikuwa nawafahamu I mean mabro ni kina Mpoki Mwambenja pamoja na Adili (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob) all the way from Morogoro Stores , Ahmed mtoto wa gavana wa benki kuu mstaafu mzee Rashid ambaye alikuwa opposite na bro Mpoki hawa jamaa walikuwa wakipiga ma- House Party they have influenced me to be diehard fan wa rap music until today I bang Hip Hop music to the fullest.RIP Bro Mpoki,Adili na Rob.🤍🤍🤍[emoji2731]
Aise umenikumbusha mbali sana D ROB nlikuwa nacheza naye pool table
Enzi hizo hapo mambo club
Wakina nick ngonyani pia watoto wa obay
Nlikuwa na friends wengi sana huko
Wakina Alex kitomari mtoto wa kishuwa since 80s huko anaenda maulaya dah
Wale watoto wa nyirabu sjui wako wapi maana tulishapotezezana nao
Kweli maisha yamebadilika
Duh umemtaja adili hiphop pioneer mc wa mwanzo mwanzo kabisa nashangaa kwenye historia ya wanabhiphop bongo wamemsahau

Ova
 
Sisi wengine kukaa kidogo maeneo hayo sio kuwa kwamba wazazi walikuwa na mawe sana ila ofisi ndio ziliwapa wakae maeneo hayo
Halafu mbona watu walikuwa wanaishi kawaida tu mfano mama mmoja mme wake alikuwa waziri wa fedha enzi za mkapa alikuwa anafuga kuku tu na kutuuzia watu wa maeneo hayo
Na wale wazee waliyokuja kushtuka kuingia ubia ya maeneo yao kidogo ndiyo walijiokoa,maana kuna familia zingine zilikuwa zinakaa kule badaye walitoka kwenda sehemu nyingine walikuja kupigika hasa

Ova
 
Mvua zikinyesha ndio utazionea huruma barabara za Masaki na Oysterbay,Upanga na Posta..Yan kiuhalisia miundombinu ya barabara jiji la Dar es salaam bado kabisa,

Majuzi kuna meli ya waisrael/Wamarekani ilitia nanga kwa ajili ya utalii na moja ya ratiba ya utalii wao ilikua ni kutembea maeneo ya Dar es salaam ikiwemo kununua vinyago posta bahati mbaya siku wanaanza ratiba hiyo mvua ilinyesha kubwa kweli barabara zote hovyohovyo nikasema tumeshatia aibu kwa mara nyingine wataenda kuhadithia hili na hawatarudi tena kama kawaida inavyoonyesha kuwa watalii wengi wanaokuja Tanzania huwa hawarudi kwa mara nyingine tena...
Kwenye miundo mbinu masaki na obay,walichelewa sana kuipeleka
Hiyo mbezi beach yenyewe nyumba nyingi hazina sewage system kuelekea baharini,we pita usiku utasikia vijenereta na pump wanamwaga maji machafu nje kimchongo

Ova
 
Aise umenikumbusha mbali sana D ROB nlikuwa nacheza naye pool table
Enzi hizo hapo mambo club
Wakina nick ngonyani pia watoto wa obay
Nlikuwa na friends wengi sana huko
Wakina Alex kitomari mtoto wa kishuwa since 80s huko anaenda maulaya dah
Wale watoto wa nyirabu sjui wako wapi maana tulishapotezezana nao
Kweli maisha yamebadilika
Duh umemtaja adili hiphop pioneer mc wa mwanzo mwanzo kabisa nashangaa kwenye historia ya wanabhiphop bongo wamemsahau

Ova
Itoshe tu kusema, Hao kaka sasa ndo washua kabisa!True that, Hip Hop imeanzia ushuani kwny House Parties ikaletwa na kukuzwa mtaani na jamii nzima!kuna watoto wa uswazi sijui walikutana wapi na watoto wa kishua nafikiri mashuleni especially Azania,Tambaza na Forodhani the next is history!Shule za sekondari hatujawahi kuzizungumzia kwny mchango wa kukuzwa kwa culture yetu pendwa but tunapaswa kutoa credit zetu from North to South!Unapozungumzia historia ya Hip Hop Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla unapotaja majina matatu!Make sure Adili yupo.
 
Mvua zikinyesha ndio utazionea huruma barabara za Masaki na Oysterbay,Upanga na Posta..Yan kiuhalisia miundombinu ya barabara jiji la Dar es salaam bado kabisa,

Majuzi kuna meli ya waisrael/Wamarekani ilitia nanga kwa ajili ya utalii na moja ya ratiba ya utalii wao ilikua ni kutembea maeneo ya Dar es salaam ikiwemo kununua vinyago posta bahati mbaya siku wanaanza ratiba hiyo mvua ilinyesha kubwa kweli barabara zote hovyohovyo nikasema tumeshatia aibu kwa mara nyingine wataenda kuhadithia hili na hawatarudi tena kama kawaida inavyoonyesha kuwa watalii wengi wanaokuja Tanzania huwa hawarudi kwa mara nyingine tena...
Ila mkuu wanaokaa maeneo hayo wana nafuu kubwa kulinganisha na maeneo mengine ya dar aisee kuna maeneo unatembea rough road 9km ndo ufike unapoenda yaani bado obay masaki upanga kwa barabara wamejaaliwa tena sana
 
Itoshe tu kusema, Hao kaka sasa ndo washua kabisa!True that, Hip Hop imeanzia ushuani kwny House Parties ikaletwa na kukuzwa mtaani na jamii nzima!kuna watoto wa uswazi sijui walikutana wapi na watoto wa kishua nafikiri mashuleni especially Azania,Tambaza na Forodhani the next is history!Shule za sekondari hatujawahi kuzizungumzia kwny mchango wa kukuzwa kwa culture yetu pendwa but tunapaswa kutoa credit zetu from North to South!Unapozungumzia historia ya Hip Hop Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla unapotaja majina matatu!Make sure Adili yupo.
Hahaha

Wengine sisi tulikulia uswazi na watoto wa kishuwa tulikuwa tunawaleta uswazi wanakuja na kujichanganya
So ikawa wao kuna mambo walikuwa wanajifunza kwetu na sisi tunajifunza makwao
Sema watoto wa kishuwa wengi ilikuwa kupewa rahusa ya kutoka makwao ndiyo ilikuwa mtihani
Watoto wa kishuwa wengi mwisho ilikuwa saa 12 wako ndani
Sasa hapo ndiyo ikaanzaga mishe za wao kutoroka,na wengine kuiba magari ya baba zao

Ova
 
Masak naona imeanza kuwa uswazi, na mdogo mdogo inaanza kuwa ya kawaida saana, yani saana...

Bar na restaurants nyingi, na security ya premier residential inaondoka kwa kuwa na maghorofa yenye watu wengi sana, lakini zaid nyumba za ghorofa kumi kuendelea zinaongezeka sana.. soon itaanza fanana na Kariakoo.

Security kwa premier residential services ni priority... sasa hapa bungalow hapa ghorofa lenye apartments 40.

Hapo sijazungumzia frame na viduka uchwara.... hadi mama ntilie
Aisee...
 
Hahaha

Wengine sisi tulikulia uswazi na watoto wa kishuwa tulikuwa tunawaleta uswazi wanakuja na kujichanganya
So ikawa wao kuna mambo walikuwa wanajifunza kwetu na sisi tunajifunza makwao
Sema watoto wa kishuwa wengi ilikuwa kupewa rahusa ya kutoka makwao ndiyo ilikuwa mtihani
Watoto wa kishuwa wengi mwisho ilikuwa saa 12 wako ndani
Sasa hapo ndiyo ikaanzaga mishe za wao kutoroka,na wengine kuiba magari ya baba zao

Ova
Hahahaha kbs noma sana!neno lilokuwa likitumika ni hovyo sana utaskia eti "Wanafugwa" 😂
 
Back
Top Bottom