Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tatizo ccm ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Masaki ya leo sio ile tulivu ya kishua tena, limebaki jina tu.
Kuna ushamba katikati umetokea ata upanga wakati sisi tunakuwa yalikuwa maeneo ya wafanyakazi wa serikali wenye kipato cha kawaida hasa walimu. Eti siku hizi prime areas.
Yaani watu badala ya kutanua jiji wamevunja na kujenga maeneo hayo hayo machache na kuharibu mandhari ya maeneo; masaki kuna maeneo nilipita nikawa najiuliza hivi ndio hapa kweli ata kilima nyege sikukitambua niliposhuka kwa kushangaa.