Watu wana-force kuchekesha Ila uchekeshaji SIO suala la ku-force nimeona wengi humu wapo hivyo sio yeye tuNilidhania peke yangu, kuna watu sijui wamekuzwaje anafanya ujinga kisha akili yake inamwambia kuwa watu wanatependa ujinga wako.
Ukiona watu wanakwazwa na jambo na wanakuelekeza kuacha jitahidi kutumia akili na kuacha mizaha kuwaelewa, sio kila mtu anafurahishwa na upuuzi unaofanya.Kuda jabo gadi serious hapa sasa, ubwa kula jama, au bogaboga kaba wewe.
Hapana napotezea sina huo mudaKakutukana kilugha sasa kazi KWAKO kugundua ni kilugha gani kwa Msaada zaidi Google
matatizo ya akili hayo mkuuNilidhania peke yangu, kuna watu sijui wamekuzwaje anafanya ujinga kisha akili yake inamwambia kuwa watu wanatependa ujinga wako.
kabisaUkiona watu wanakwazwa na jambo na wanakuelekeza kuacha jitahidi kutumia akili na kuacha mizaha kuwaelewa, sio kila mtu anafurahishwa na upuuzi unaofanya.
kwaiyo anachekesha kwa maandishi 😂😂😂Watu wana-force kuchekesha Ila uchekeshaji SIO suala la ku-force nimeona wengi humu wapo hivyo sio yeye tu
Niliwahi kukatazwa kumpa Mbwa nyama isiyopikwa especially Mbwa Wakali wale wapo kwa ajili ya kung'ata ukimpa nyama Mbishi siku aking'ata akaonja damu ataanza kula anaweza akawatafuna hata watoto wako na MkeoUzuri ni atashiba na anaweza kudigest vizuri tu ubaya ni siku akiwa na njaa halfu mkafungiwa chumba kimoja atakukula na wewe maana anaweza kula nyama mbichi.
Punguzeni hasira kenge nyie. Hutaki utani kufa. Huyo bwana yeye ni mtani tu, mmekaza ndio maana na mimi nimewakazia. Sio lazma utachochukia wewe kila mtu akichukie msifosi mambo, msitaffute wakuwashushia hasira zenu za maisha humu kwenye mitandao mbwa wewe mla nyama mbichi.Ukiona watu wanakwazwa na jambo na wanakuelekeza kuacha jitahidi kutumia akili na kuacha mizaha kuwaelewa, sio kila mtu anafurahishwa na upuuzi unaofanya.
Hivi mkuu huu uandishi wako umeutoa wapi???WIGI NJIMA NAGULA BOGA YA MAYANI WEHINE WANAMUPA MUBWA YAMA
Fanya tafiti zako vizuri Mtafiti bado hujakamilisha tafiti Mbwa ukimpa nyama Mbichi ni sawa unafuga Simba au Chui nyumbani kwako na siku ukikosea ukampa nyama yako atakutafunaNa pia, mbwa anayelishwa hivo sahau kumkuta kadaka kuku au kala nyama jikoni. Mbwa hana tabia hiyo. Au eti aje kumla binadamu. Yeye atakula kile tu anachopewa.
Boss hii story yako ya lini. Mbwa haawezi kukushambulia eti kisa akule nyama hapana. Big no. Lete hii story kwanza. Tusione upotoshaji.Niliwahi kukatazwa kumpa Mbwa nyama isiyopikwa especially Mbwa Wakali wale wapo kwa ajili ya kung'ata ukimpa nyama Mbishi siku aking'ata akaonja damu ataanza kula anaweza akawatafuna hata watoto wako na Mkeo
Rejea tukio la Mwanza Mbwa aliua Mke na Mtoto wa Jamaa na akawatafuna na Jamaa aliporudi na yeye akataka amtafune mpaka Polisi walipoingilia Kati kuja kumpiga Mbwa Risasi ya Kichwa
HUYO ana-force kuchekesha kitu ambacho SIO cha ku-forcePunguzeni hasira kenge nyie. Hutaki utani kufa. Huyo bwana yeye ni mtani tu, mmekaza ndio maana na mimi nimewakazia. Sio lazma utachochukia wewe kila mtu akichukie msifosi mambo, msitaffute wakuwashushia hasira zenu za maisha humu kwenye mitandao mbwa wewe mla nyama mbichi.
Huo ni utani ungeachana na comment moja ufate kilicho kuleta humu, mbwa wewe tena.
Mbwa mla nyama atakutafuna pita YouTube na GoogleBoss hii story yako ya lini. Mbwa haawezi kukushambulia eti kisa akule nyama hapana. Big no. Lete hii story kwanza. Tusione upotoshaji.
Sio kweli, naishi na aina tatu ya mbwa , mwaka wa 22 sasa. Na nalisha nyama. Nimekaa na mbwa toka tupo toure drive baba yangu mzazi annawafuga niko na miaka 8, mpaka sasa ni mtu mzima nina wangu, na baba yangu bado anafuga. Nyama mbichi aihusiani kabisa, na mbwa kumshambulia mtu. Zpo sababu tofauti.Fanya tafiti zako vizuri Mtafiti bado hujakamilisha tafiti Mbwa ukimpa nyama Mbichi ni sawa unafuga Simba au Chui nyumbani kwako na siku ukikosea ukampa nyama yako atakutafuna
Bro acha ngendembwe hizi. Tupo hapa mifano hai tunafuga mbwa. Tena wakali kuliko anaoongelea mtoa thread. Tena yeye anaongelea jamii za kawaida hao.Mbwa mla nyama atakutafuna pita YouTube na Google
Pita YouTube na Google kwa msaada zaidi utapata majibu ya kutosha, hivi ushawahi ONA zile Clip za watu weusi wakiliwa na Mbwa HUKO Uarabuni wanatafunwa na kularuliwaraliwa au hujawahi kuziona? Mpaka watu wakawa wanapiga kelele watu wasiende HUKO anafunguliwa Mbwa mwenye njaa anaanza kukushughulikiaSio kweli, naishi na aina tatu ya mbwa , mwaka wa 22 sasa. Na nalisha nyama. Nimekaa na mbwa toka tupo toure drive baba yangu mzazi annawafuga niko na miaka 8, mpaka sasa ni mtu mzima nina wangu, na baba yangu bado anafuga. Nyama mbichi aihusiani kabisa, na mbwa kumshambulia mtu. Zpo sababu tofauti.
Babu ingia YouTube au Google utapata MAJIBU au ingia Dark World kule Dark Web utafute video za watu wanaliwa na Mbwa HUKU watazamaji wanalipia kwa BitcoinBro acha ngendembwe hizi. Tupo hapa mifano hai tunafuga mbwa. Tena wakali kuliko anaoongelea mtoa thread. Tena yeye anaongelea jamii za kawaida hao.
Kaisha sema inapelekea minyoo kwaiyo sio nzuri ata kama unauwezo wa kumtibu. Jitaidi kumkinga mbwa wako na magonjwa yanayo epukikaKwaiyo ni nzuri tu