Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

Mwenzio sikuimaliza maana inatisha sana, Mbwa mtata sana nazungumzia Hybrid SIO hawa changanyikeni wavuka barabara
Hybrid gani ww unaongelea? Anamla binadamu. Na ikumbukwe pitbul ni man made Dog. Watakataza kuendelea. Kutengeneza mbwa kama pitbull. Maana annytime anabadirisha tabia na si kumla binadamu au mbwa mwenzake.
Tujue kutofautisha kula na kumuuma au kumuumiza. Tusilete mjadala mbwa kumla binadamu hapa. Mnatoka nje ya mada kabisa ya thread
 
Mbwa asili yake ndio hiyo nyama mbichi, vya kupikwa ni sisi binadamu tu.
 
Wanajua kufuta mada za msingi na kuwapa Ban watu wanaokuwa na hoja za msingi, ila upumbavu kama huu huwa hawafuatilii na ndio servers za Jf zimejaa huu upuuzi.
hivi nyie huwa mnajuaje kuwa server zimejaa?
 
pitbul ni man made Dog. Watakataza kuendelea. Kutengeneza mbwa kama pitbull.
Pita GOBA hapo PITBULL wamejaa kibao Mkuu, wewe unaongea kiushabiki shida ndio inaanzia HAPO Ila kuna Mbwa Wewe ukiwekewa anakutafuna vizuri tu
 
Tujue kutofautisha kula na kumuuma au kumuumiza. Tusilete mjadala mbwa kumla binadamu hapa. Mnatoka nje ya mada kabisa ya thread
NGOJA nikutafutie Video maana naona umezidi ubishi na nikikupa Video sijui utazua Jambo gani jingine ukichaa?
 
Pita GOBA hapo PITBULL wamejaa kibao Mkuu, wewe unaongea kiushabiki shida ndio inaanzia HAPO Ila kuna Mbwa Wewe ukiwekewa anakutafuna vizuri tu
Leta video ya mbwa anamla binadamu. Hata za you tube auu huko dark web sijui. Leta hapa hata link.
Nakuhusu pitbull kujaa Goba, acha wajae. Si hela tu. Kwani wanauzwa milioni 300. Ishindikane. Tena wapo wengi saaaana.
 
Sasa nimeshangaa unaposema uzalishwaji kufanyaje? Wanazalishwa tu na Watu bado wanawanunua km kawaida, ngoja nikutafutie HIO Video Ila nakupa ONYO Video inatisha
 
Sasa nimeshangaa unaposema uzalishwaji kufanyaje? Wanazalishwa tu na Watu bado wanawanunua km kawaida, ngoja nikutafutie HIO Video Ila nakupa ONYO Video inatisha
Leta video. Swala la kuzalishwa nimekwambia wanataka kulikwamisha sio bongo. Huyo pitbull ni breed ya huko marekani, ila chama cha wamiliki wa mbwa hakitambui huyo mbwa ni crossed bull na terrier dog. Miaka na miaka ila amekua hatari sana kwa kushambulia binadamu. Hivo wanataka kusimamisha uzalishaji wake marekani.
Bongo Unga tu mnasukuma. Nenda Canada au China kama kuna upuuzi kama huo. Sheria ni kali.
 
Kama ni wa nyumbani anaangalia movies mpikie lkn km ni mindaji huyo nyama mbichi inampa hamasa ya kuwinda zaidi na hii hata kwa mbwa mlinzi inafaa kumuongezea hasira.

Ya kupika,kuchoma au kukaanga tunawapa wale wazururaji ili iwaepushe kupewa vyakula vibichi vyenye sumu. Akipewa akagundua hakijapikwa hali.
 
mbwa wa nyumban na home kuna mifugo
 
Nmekuelewa Mkuu Ila Pitbull Bongo wamejaa kibao usisahau hilo, subiri nikuletee HIO Video Ila nimeshakupa Warning weka mbali na Watoto usiseme sikukuambia
 
Unasema kweli mkuu, nyama mbichi kwa mbwa inampa afya sana.

Kuna jamaa anafuga rottweiler ni vidogo anavipa nyama mbichi vimenenepa sana.
 
Unasema kweli mkuu, nyama mbichi kwa mbwa inampa afya sana.

Kuna jamaa anafuga rottweiler ni vidogo anavipa nyama mbichi vimenenepa sana.
Kunenepa kwa Mbwa SIO kula Nyama Mbichi kunenepa kwa Mbwa ni kumpa Chakula cha kutosha kwa Wakati na kuzingatia asiugueugue ovyoovyo Mbwa akiugua afya yake inazorota anakonda sana na manyoya yanakosa muonekano mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…