Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

To hate a woman because of broken relationship is the sign of weakness
 
Ko lazima nishiriki zoezi 🤣🤣🤣
Ndio, sasa uzao utaendeleaje..
Elewa kiswahili tunafanya kwa sababu ya....... Na sio burudani.

Basi tutafanya huku hatutizamani usoni😂😂
 
Ndio, sasa uzao utaendeleaje..
Elewa kiswahili tunafanya kwa sababu ya....... Na sio burudani.

Basi tutafanya huku hatutizamani usoni😂😂
Makaveli una sound sijawahi kuona!!! 🤣🤣🤣
Itakuwa wadada wengi umewavua pichu kwa style hii!! 🙌🙌
 
Huoni kama wewe ndiyo unateseka (unatatizo)? Katika maisha yako jifunze kusamehe na kuachilia mambo moyoni mwako.
Hapo sijaona ubaya wa huyo mwanamke kama anakupigia kukusalimia tu. Mapenzi siyo ugomvi mpk ushindwe kuongea naye.
Wanawake wanaishi miaka mingi kwasababu wanamoyo wa kusamehe, kutoweka chuki na pia kupuuzia mambo ndiyo maana wanawake hata ukiachana naye atabaki na namba yako na pia hata ukimpigia mtasalimiana na pia atakupuuza.
Umejaza chuki, usinitafute kwani wewe ni nani. Chuki inatafuna sana moyo na hata kujenga kisasi. Watu wa namna hii ndiyo wale utasikia amemuua mkewe, amejinyonga au kamuua mgoni wake.
Akikupigia mpokee msalimiane kawaida kwa upendo kisha endelea na mambo yako. Mapenzi siyo ugomvi kumbuka tayari umeweka alama ya moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…