Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

To hate a woman because of broken relationship is the sign of weakness
 
Ndio, sasa uzao utaendeleaje..
Elewa kiswahili tunafanya kwa sababu ya....... Na sio burudani.

Basi tutafanya huku hatutizamani usoni😂😂
Makaveli una sound sijawahi kuona!!! 🤣🤣🤣
Itakuwa wadada wengi umewavua pichu kwa style hii!! 🙌🙌
 
Mimi siumii wala sina mpango naw tena sababu sina desturi ya kumtafuta hata kwa bahati mbaya na kubwa zaidi hata namba zake za simu hazipo kwenye phonebook yangu.Kuna siku alipiga simu mpaka ikabidi nimuulize "naongea na nani", sio kwamba nilikua namtania ila ni kweli sikujua naongea na nani mana sauti binadamu huwa zinafanana.Siku hiyo ndo alijua kumbe hata namba zake nishafuta na akaanza kunambia eti oooh mbona me namba zako zote ninazo nikashangaaa sana.Mimi nikishaacha mwanamke nimeacha haijalishi uko mbeleni nitapa shida au la mana sio yeye peke yake ndo anaweza kunipa msaada.
Huoni kama wewe ndiyo unateseka (unatatizo)? Katika maisha yako jifunze kusamehe na kuachilia mambo moyoni mwako.
Hapo sijaona ubaya wa huyo mwanamke kama anakupigia kukusalimia tu. Mapenzi siyo ugomvi mpk ushindwe kuongea naye.
Wanawake wanaishi miaka mingi kwasababu wanamoyo wa kusamehe, kutoweka chuki na pia kupuuzia mambo ndiyo maana wanawake hata ukiachana naye atabaki na namba yako na pia hata ukimpigia mtasalimiana na pia atakupuuza.
Umejaza chuki, usinitafute kwani wewe ni nani. Chuki inatafuna sana moyo na hata kujenga kisasi. Watu wa namna hii ndiyo wale utasikia amemuua mkewe, amejinyonga au kamuua mgoni wake.
Akikupigia mpokee msalimiane kawaida kwa upendo kisha endelea na mambo yako. Mapenzi siyo ugomvi kumbuka tayari umeweka alama ya moto.
 
Back
Top Bottom