Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...!!! Akili kubwa, amekwepa kesi ya uchochezi kwa namna yake.niliishia kucheka na kujidharau mwishon hahaha huyu ni habari nyingine kbs
Aisee...!!! Akili kubwa, amekwepa kesi ya uchochezi kwa namna yake.
Uko nondo!Tuanze na kusahihisha uongo wako. Daudi hakubarikiwa kwa kutembea na mke wa Uriah kwa jina Bathsheba. Kinyume chake yafuatayo yalitokea:
Mwisho, Daudi alijutia na kutubu kwa Mungu kwa dhambi hii mbaya kabisa. Maandiko pia yanasema: "Ndoa iheshimiwe na watu wote"!
- Balaa ndani ya nyumba ya Daudi: Tamar, dada wa Absalom kupendwa na kuliwa tunda kinguvu na kaka yake Amnoni.
- Absalom kumuua Amnoni-wote hawa ni watoto wa Daudi
- Ufalme ukaenda kwa Solomoni (mtoto wa aliyepata kwa mke wa Uriah) badala ya kwenda kwa watoto wake wa ndani ya ndoa.
- Absalom kutaka kumpindua Baba yake.
- Adonia kujitangaza kama mfalme mtarajiwa wakati Daudi akiwa hoi kitandani na wakati ahadi ya ufalme ilikuwa kwa Solomon.
- Ufalme kugawanyika baada ya kifo cha Daudi.
Intelijensia... hahahaha sikujua kama ataenda huku....Mbona hapa sijaelewa? Funguka hii inahusianaje na uzi wa Pasco?
basi tufanye wewe ndio great thinker na sio yeye.Yaani umepoteza muda kuja kufungua thread yenye pumba namna hii, na wewe unajiita great thinker. Kama unakula mke wa mtu we endelea tu, usije humu kutafuta cheap justification
Lengo la kuzifahamu familia zao ilikuwa ni nini? (nje ya mada, samahani)siku 1 mkulu aipiga simu 360clouds akasema anataman azifaham familia za watangazajwa 360! siku waiyokuja mume wa baby alikua amevaa suti kuubwa sana sana !sasa jana walikua wanamsema maalimu sief kuvaa suti oversize nikawa nashangaa
Lengo la kuzifahamu familia zao ilikuwa ni nini? (nje ya mada, samahani)
Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani huyu mpendaji kuwa kitendo cha kumpenda mke wa mtu, atalaaniwa!.
Hii ni thread ya swali hypothetical tuu na naliuliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
What is Love?.
Kupenda is love, ni kitu kinachotokea naturally for a reason au inaweza kutokea tuu for no reason at all!. Sasa ikitokea tuu naturally, mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?. NB. Naomba lets underline, kupenda, love na kutoka na mke wa mtu!, hapa nazungumzia ku penda, just imagine wewe ni mwanamke mke wa watu, halafu umependwa na mwanaume mwingine, jee wewe una kosa kupendwa?, kwani ni wewe ndio umemwambia huyo mwanamume, akupende?.
Hitimisho.
Wanawake, ni mama zetu, dada zetu na wake zetu, wengi wao wanaishi kwenye ndoa za mateso, hawapendwi, hawatimiziwi, hawatoshelezwi, sasa katika safari ya kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, kama sisi wanaume tulivyo na uhuru wa kupenda mtu zaidi ya mmoja na isinekane ni jambo la ajabu, its high time, tuwape uhuru huo wa kupenda na kupendwa, mama zetu, dada zetu, na wake zetu.
Namalizia kwa swali hili la msingi, Japo "The Forbidden Fruits the Sweetest", na "Vifunikavyo Vyaliwa, Vyaachwa Vilo Wazi", Jee ikitokea mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?.
Ila pia pamoja na yote, mwisho wa yote ni hukumu ya haki iitwayo karma, ambayo kila binadamu atahukumiwa kwa kadri ya wema wake!, unaweza kumpenda mke wa mtu kwa lengo la kumsaidia yeye na familia yake, ukapata baraka kwa usaidizi huo, na unaweza kumpenda mke wa mtu, kwa dhambi ya matamanio ya mwili tuu, na hivyo kumuangamiza mume wake na kuisambaratisha familia yake, japo kidunia unaweza kufanikiwa sana, lakini mwisho wa siku lazima karma itakuhusu!.
Nawatakia Jumatano Njema.
Paskali
Rejea
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]alipopiga simu alisema ningependa kuwfaham na wake zenu na waume zenu !ndo siku wakaja pale mkulu awaone ! ila aisema kweli nampenda bby

Sehemu gani ilipoandikwa kuwa mke wa mtu ni sumu?Umeshasema mke wa mtu awe anatimizwa or not wewe haupaswi kuingilia ndoa ya watu...
Hivi kweli unakuja kuuliza swali kama hilo hapa??? Au haujui kama mke wa mtu ni sumu
Mie mke wangu anapendwa sana na wanaume niwaachia. Nimegundua hakuna mwanamke wa peke yako hivyo bora uishi bila mke wewe kuwa naye yeyote hata ukioa ni wa wote. Ila wanaume wengi wanajifariji kuwa mie mke wangu hana mme wa nje na hawapendi kujua ukweli ndo maana ndoa zao zinadumu lakini ukitaka kujua lazima ivunjike. Hakuna mwanamke wa pekee yako!! Nasisitiza hayupo!!!Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani huyu mpendaji kuwa kitendo cha kumpenda mke wa mtu, atalaaniwa!.
Hii ni thread ya swali hypothetical tuu na naliuliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
What is Love?.
Kupenda is love, ni kitu kinachotokea naturally for a reason au inaweza kutokea tuu for no reason at all!. Sasa ikitokea tuu naturally, mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?. NB. Naomba lets underline, kupenda, love na kutoka na mke wa mtu!, hapa nazungumzia ku penda, just imagine wewe ni mwanamke mke wa watu, halafu umependwa na mwanaume mwingine, jee wewe una kosa kupendwa?, kwani ni wewe ndio umemwambia huyo mwanamume, akupende?.
Hitimisho.
Wanawake, ni mama zetu, dada zetu na wake zetu, wengi wao wanaishi kwenye ndoa za mateso, hawapendwi, hawatimiziwi, hawatoshelezwi, sasa katika safari ya kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, kama sisi wanaume tulivyo na uhuru wa kupenda mtu zaidi ya mmoja na isinekane ni jambo la ajabu, its high time, tuwape uhuru huo wa kupenda na kupendwa, mama zetu, dada zetu, na wake zetu.
Namalizia kwa swali hili la msingi, Japo "The Forbidden Fruits the Sweetest", na "Vifunikavyo Vyaliwa, Vyaachwa Vilo Wazi", Jee ikitokea mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?.
Ila pia pamoja na yote, mwisho wa yote ni hukumu ya haki iitwayo karma, ambayo kila binadamu atahukumiwa kwa kadri ya wema wake!, unaweza kumpenda mke wa mtu kwa lengo la kumsaidia yeye na familia yake, ukapata baraka kwa usaidizi huo, na unaweza kumpenda mke wa mtu, kwa dhambi ya matamanio ya mwili tuu, na hivyo kumuangamiza mume wake na kuisambaratisha familia yake, japo kidunia unaweza kufanikiwa sana, lakini mwisho wa siku lazima karma itakuhusu!.
Muongozo wa kuujadili uzi huu:
Nasisitiza uzi huu ni hypothetical situation, hivyo nawaombeni sana, msiingize jina la mtu yoyote, na pia isiiamini sana taarifa za umbeya wa mitandaoni kuhusu wake za watu!.
Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa ...
Nawatakia Jumatano Njema.
Paskali
Rejea
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi ...
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya ... - JamiiForums