Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

Eti kutaka Uraisi” nonsense kabisa, sio kila Kiongozi anaetimiza wajibu wake ana mawazo hayo; wengine wameumbwa hivo, akili ndogo namna hii zimefika vp humu JF, tumezoea hili ni jukwaa la critical thinkers
Waziri Juma Aweso ni Mwizi kala pesa mradi wa A to Z Arusha kwa Kushirikiana Rujomba na Tumaini Engineer

Aweso labda awe Rais wa Coastal Union

Au Rais wa Wanaume waliopora wake wa watu ..

Mke wake mdogo Dc wa Bagamoyo kapora mtu .. Ogopa Kiongozi Mzinzi na Mla Rushwa ukiwa na Combination ya hizi unakuwa Sadist
 
Huu ni Mwezi wa Saba AUWSA awana Vifaa vya kufanya extension ( Kuongeza mtandao wa Majisafi) wateja wanateseka… Rujomba yupo busy na kupiga dili
 
PCCB chunguzeni na Variation katika mradi Mkubwa wa maji wa 520 bilion kuna Variation zimetengenezwa kwa ajili ya Upigaji wa zaidi ya 15 bilion

It’s very simple ombeni Mkataba wa wakandarasi wa Mradi Mkubwa na Consultancy na ombeni kiasi Cha Pesa walicholipwa kuna upigaji Mkubwa sana

Kwa Upande wa Consultancy Cheil engineering pia Ombeni Mkataba wake na ombeni kiasi alicholipwa.. Nchi hii inachezewa sana.

Wakorea waliokuwa wanafanya Cheil Consultancy walikataa huu ujinga Eng Rujomba akawatimua akamleta Eng Hosea Kama Mtaalam kwa kufanikisha Ufisadi .. Walikuwa na Eng Hosea Moshi Miaka ya nyuma
 
Uwiii! Dr. Richard Masika tena? Yule aliyefukuzwa Arusha Technical College kwa ufisadi serikali imempa uenyekiti wa bodi? Hivi nchi hii watu wenye maadili wameisha mpaka ateuliwe mtu alishafukuzwa tangia 2017? Hii Serikali ina nini? Mama Samia Raisi wetu mpendwa Masika ni fisadi aliyeshindikana ataongoza bodi ipi kwa uadilifu upi?
 
PCCB na Chunguzeni kwanini Mkandarasi na Consultancy wa Mradi Mkubwa wanaongezewa muda kila Siku na kazi wanafunga saa 9:30 Jioni Kama wanajua muda ni Mchache kwa nini wasipige kazi Days and Night? Mradi ulitakiwa kukamilika June 2020 hadi leo wakazi wa Arusha awana Maji

Eng Aweso yeye Akija anavuta Fedha anachukuliwa Room Mount meru Hotel anasepa

Eng Sanga ni Mwadilifu ila awezi mgusa Rujomba amemuajiri Mdogo wake anaitwa Emanuel Sanga yupo ofisi ya Mradi Auwsa na yeye ni mnufaika wa Zile 5 Milion za kila sikukukuu za Christmas na Pasaka
 
PCCB na Chunguzeni kwanini Mkandarasi na Consultancy wa Mradi Mkubwa wanaongezewa muda kila Siku na kazi wanafunga saa 9:30 Jioni Kama wanajua muda ni Mchache kwa nini wasipige kazi Days and Night? Mradi ulitakiwa kukamilika June 2020 hadi leo wakazi wa Arusha awana Maji

Eng Aweso yeye Akija anavuta Fedha anachukuliwa Room Mount meru Hotel anasepa

Eng Sanga ni Mwadilifu ila awezi mgusa Rujomba amemuajiri Mdogo wake anaitwa Emanuel Sanga yupo ofisi ya Mradi Auwsa na yeye ni mnufaika wa Zile 5 Milion za kila sikukukuu za Christmas na Pasaka
 
Huyu Waziri namjua vzr mamlaka nyingi za maji ameweka watu wake wa karibu sn, kimsingi mkuu hii nchi ni shamba la bibi kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake hakuna namna maana pamejaa uozo tupu kila kona.
Mama amewasaidia amewaambia wasivimbiwe
 
Natamani hizi taarifa zifike kwenye mamlaka husika na hatua zichukuliwe mapema sana, sio poa aisee
 
Tunafaatilia kwa karibu hizi tuhuma
 
Waziri wa Utumishi na Utawala bora , Kamishna Mkuu wa PCCB tusaidieni kushughulikia suala la Ufisadi wa A to Z Takukuru Arusha wamewekwa Mfukoni.
 
Eng Rujomba na Meneja Rasirimali watu Kanyanza wananyanyasa wafanyakazi

Wamezuia watumishi kupewa Ruhusa za kuuguza hadi wawe na barua ya Mganga Mkuu wa Hospital alipolazwa Mgonjwa ,

Wamezuia Mtumishi kushiriki msiba wa Ndugu , Rafiki au Jirani hadi aonyeshe cheti cha kifo.. Swali la Msingi ni Jirani gani atatoa cheti cha kifo ? Na itatakiwa atoe vyeti vingapi ili watumishi wapate ruhusa?

Mtumishi akipata Mgonjwa au kufiwa Weekend cheti atapeleka kwa nani ? Auwsa
Awafanyi kazi weekend.

Rujomba Jibu hoja za Ufisadi wa A to Z

Kanyanza Uliiba Cement Mifuko 200 Lorovani zirudishe.

PCCB Arusha acheni kula Rushwa.
 
Poleni na majukumu ya kazi, kumekuwa na changamoto za kuomba ruhusa za kawaida kwa watumishi kwa sababu mbalimbali, tunapenda kutoa maelekezo kuwa , watumishi wanaelekezwa kutumia muda wao wa likizo kushughulikia changamoto za kifamilia zinazojitokeza, Kama Umefiwa leta cheti cha Kifo kama unauguza Leta barua ya Mganga Mkuu wa Hospital alipolazwa Mgonjwa pale inapolaziju kuomba ruhusa ya kusafiri kwenda nje ya kituo chako cha kazi jitahidi kuweka kiambatisho / cha sababu uliyoitoa kwenye maombi yako ya ruhusa, mf , naomba ruhusa kwenda kumwona baba mgonjwa , au amelazwa, tunawaelekeza kuweka Cheti cha kifo kama kuuguza weka Barua ya mganga Mkuu kingine kitakachoonyesha uwepo wa mgonjwa au sababu uliyoombea ruhusa!mnaidhinisha ruhusa hizi hatua za awali , tafadhali zingatieni haya!

Kanyanza K. R
Meneja Rasirimali Watu na utawala
AUWSA
 
Barua ya HRM AUWSA kwa watumishi .. its so sad
 
hii nchi ni ya hovyo sana
 
Rujomba umekula pesa za Mradi wa A to Z sasa unataka uwe mungu mtu unataka kuwapangia Ugonjwa Wazazi wa Watumishi waugue kipindi wakiwa likizo

Unataka kuwapangia watumishi wa AUWSA wafiwe kipindi wakiwa Likizo

Ya Mungu ni mengi kuna Msemo wa kichaga unasema “ Ukishiba sana Usimuonyeshe Mungu tumbo lako” Rujomba na AWESO Mmeshiba Pesa za Mradi wa A to Z msituonyeshe mungu matumbo yenu

Kanyanza Umeiba Cement ukajenga nyumba yako kisongo Jamba Kimya kimya kwenye shuka ukijua Nyumba umejenga wa cement za Wizi.
 
Upigaji hautakaa uishe unless kuwe na nia na hatua madhubuti zinazochukuliwa.
 
Mamlaka zichunguze ili ukweli ubainike kama ni kweli au sio kweli
 
Mamlaka zichunguze ili ukweli ubainike kama ni kweli au sio kweli
PPRA walituma wataalam wakakuta ufisadi kumpata Mkandarasi ( Tumaini Engineering ) wa Kujenga mtandao wa uondoaji Majitaka A to Z

Kamanda wa Takukuru Arusha Kamanda Ruge ana report amefungia kwenye droo..

Tunaomba Kamishna Wa PCCB Hamduni asaidie haki itendeke .. Wakiendelea kukaa kimya tutaita Presss kuongea na Media Nchi hii imechezewa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…