Moshi town
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 171
- 120
- Thread starter
- #61
Ungekuwa na akili usingetoa huu uharo wako hapa! Ungekuwa na akili ungegundua huyu aliyelalamika ni mpika majungu ofisini, hajui nini kinaendelea ofisini na wala hajui taratibu za ofisi aliyopo na ni mvivu, hajui majukumu yake! Hivyo wamemuacha na kumpuuza bila kupangiwa kazi yo yote. Na hiyo ni kwa kumsaidia astaafu salama vinginevyo atafukuzwa kazi ili ale jeuri yake!
Inatakiwa wabadilishe scheme of Service kwanza , AUWSA kuna wakuu wa Vitengo watatu ( PDU, Billing na Expenditure) wana kaimu huu mwaka wa Nne kutokana na kutokuwa na MastersIla nadhani kwenye suala la elimu utakua unamuonea bure,kua na elimu kubwa masters au PHD sio kwamba ndio kua na uwezo wa kuongoza taasisi,hizi masters,PhD mara nyingi hua ni rubish tu,na sijui kwa nini hua zimewekwa kwenye kupima uwezo wa kuongoza,na labda nachoona kuna watu hapo wanaomuonea Wivu kwa kua wao hawajapewa huo ukurugenzi.
Sometimes kwenye maisha sio lazima ukisoma sana ndio uje kua kiongozi, kuna watu ni gifted na inatokea tu pamoja na kua wana elimu ndogo, kama Nyerere,Samia, JK.
Mtu akiwa na bachelor degree safi,uwezo wa kuongoza anao,ametulia kiakili, exposure anayo,mvumilivu kwenye maamuzi,hivyo hua vinatosha, ila kibongo bongo yaani mpk mtu awe na masters ndio anaonekana ana uwezo.
Nchi hii imeongozwa na viongozi wengi wenye one degree only na nchi imetulia,Mawaziri wengi wana bachelor degree na wanaongoza wizara sembuse taasisi?
Kigezo cha elimu kubwa ndio kua na uwezo wa kuongoza ni upuuzi, kuna masters, Phds kibao ila ni ovyo.degree moja inatosha kuongoza hataa nchi, mtu atapata course mbili tatu za management mambo yanaenda.
Kwenye suala la elimu hapo utakua unamuonea na madai yako yataonekana yanaongozwa na hatred ,may be kwa kutumwa au wewe mwenyewe labda mambo mengine.
Kama Mkuu wa Kitengo anakaimishwa Miaka minne what about MD… Nani alifanya Shortlisting ya Interview ya MD?