Moshi town
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 171
- 120
- Thread starter
- #121
Rujomba amegeuza AUWSA kama Mali yake binafsi ,huu ni mwezi wa nane hakuna Vifaa vya kuunganisha mabomba ya Inchi 1, 2 , 3 , na 4 ikitokea lekages ( Uvujaji) bomba ukunjwa kuzuia Uvujaji bomba likikunjwa wateja ukosa maji badala ya kufanya Replacement sababu ni supplier wa Mabomba Waligoma kutoa Rushwa kwa akili ndogo anadhani anawakomoa supplier kumbe anakomoa wateja wa AUWSA..