PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Asante mkuu nitajaribu kuzingatia ushauri wakoMkuu nilipitia hizo hali kidogo nife.
Nilifanya hivi...
Nunua limao 3 zikatekate Kama chips bila kutoa mbegu zake wala maganda.
Katakaa vitunguu maji vinne...
Weka vitunguu swaumu viwili.
Weka tangawizi 2 ( twanga)
Halafu chemsha kwa pamoja Hadi ichemke... Subiri ipoe halafu chuja glass moja unywe asubuhi na usiku ( ni chungu Sana Sana Sana).... Mimi nilipiga hiyo kwa siku kadhaa.
Kingine piga zoez , Mimi nilianza mazoez ya push up
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu ugonjwa ukikukamata ukijifunika na shuka au ukivaa nguo kwa lile joto unaona kama inakuchoma. Niliupitia kidogo kwa joto kali kupanda.Pole sana kwahiyo una uhakika ni FUTA lilikukamata?
Nakushauri tumia Amoxlyin na Tangawizi unaisaga then unachanganya na asali. Baada ya siku 3 lete majibu.Yes nakohoa kikohozi kikavu na Pua bado zinaziba ziba kwa kweli hizi wiki 2 kwangu imekua changamoto
Asante mkuu nitajaribu kuzingatia ushauri wako
mzee hata mimi ilikuwa hivo unawezaje kulala wakati unaona malaika mtoa roho anakusogelea, nilisema ni bora nife nikiwa naona kuliko nikiwa usingiziniNipo Songea Ruvuma mkuu kwa sahiv natumia mchanganyiko wa juice ya limao,Tangawizi na vitunguu swaumu vinanipa nafuu
ila changamoto ipo kwenye Kupumua Kuna muda nakosa hewa hadi naivuta mwenyewe kwa force...Usiku naogopa kulala maana nahisi nitakufa usingizini
Utapona tu mkuu na kikubwa zingatia tangawizi na limau. Ivyo viungo vya mwili vinavyouma ni mateso makubwaSimulia sana ila omba yasikukute...Hapa nilipo sina uwezo wa kusikia harufu yoyote wala kuhisi radha ya chakula chochote
Viungo vya mwili ndio usiseme vinavouma...Pua zimeziba hii inaelekea siku ya 7 au 8 na hamna dawa ya mafua iliyonipa nafuu
Covid ni hatarii naamin nitapona tu inshaallah...
braza unazingua, baraka kwenye moto wa jehenamuIlikuwa baraka iliyofichika - kwa vile imekufanya umrudie Mungu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu wewe unasema tu hilo goma dawa zinagonga, wewe omba mungu tuAmoxlyin unaitumia separate kama ilivyo dozi yake ya kawaida ya 2×3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez kulala kwa iyo hali na mimi nilikaa siku 4 bila kupata usingiziNipo Songea Ruvuma mkuu kwa sahiv natumia mchanganyiko wa juice ya limao,Tangawizi na vitunguu swaumu vinanipa nafuu
ila changamoto ipo kwenye Kupumua Kuna muda nakosa hewa hadi naivuta mwenyewe kwa force...Usiku naogopa kulala maana nahisi nitakufa usingizini
Jion Huwa naendesha endesha baiskeli kama moja ya mazoezi...nitajitahidi kuanza kupiga na Pushup japo 10 au 15 tu
Nikweli ndugu. Mungu ni wa kumuomba sana.ndugu wewe unasema tu hilo goma dawa zinagonga, wewe omba mungu tu
Mzee baba ili gonjwa ni la kipekee..hizo antibiotics unazotaja zimegonga mwamba.....Kama Azuma inakataa unadhan amoxilin itafua dafu??Nakushauri tumia Amoxlyin na Tangawizi unaisaga then unachanganya na asali. Baada ya siku 3 lete majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa umenikata stimu wiki 4 za kukurukakara ni nyingi sana tutapona kweli!?kwa ile hali niliyokuwa nayo kama ningejifukiza ningeondoka maana nilikuwa sihemi vizuri ilinichukua wiki 4
Pole sanaNipo Songea Ruvuma mkuu kwa sahiv natumia mchanganyiko wa juice ya limao,Tangawizi na vitunguu swaumu vinanipa nafuu
ila changamoto ipo kwenye Kupumua Kuna muda nakosa hewa hadi naivuta mwenyewe kwa force...Usiku naogopa kulala maana nahisi nitakufa usingizini
Kuna sehemu nilisoma/kuona wanashauri ukiumwa huu ugonjwa usilalie mgongo wako wanashauri ulalie tumbo au kiubavu ubavumzee hata mimi ilikuwa hivo unawezaje kulala wakati unaona malaika mtoa roho anakusogelea, nilisema ni bora nife nikiwa naona kuliko nikiwa usingizini
Pole sana, kazania hiyo huduma uliyoianzaNipo Songea Ruvuma mkuu kwa sahiv natumia mchanganyiko wa juice ya limao,Tangawizi na vitunguu swaumu vinanipa nafuu
ila changamoto ipo kwenye Kupumua Kuna muda nakosa hewa hadi naivuta mwenyewe kwa force...Usiku naogopa kulala maana nahisi nitakufa usingizini
Hongera kwa kuijua kweli na kweli itakuweka huruKama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu mara chache nikawa napumua kwa kuhema na kwa tabu sana haikuwa homa wala mafua ya kawaida niliyoyazoea
Siamini mpaka sasa niko hai japo sikupima lakini naamini ile ni hii new cases, zile wiki karibia 4 kasoro zilikuwa za mtihani mkubwa sana kwangu.
Naanza kwenda kanisani rasmi naamini ni mungu tu aliyeniponya