Nowonmai
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 1,050
- 1,126
Hata nyumba za ibada wanokoswali maskini zimejaa kelele.
Dalili mojawapo ya umaskini ni kupenda kelele. Ndio maana soko kubwa la vyombo vya kupaza sauti liko Africa. Imagine watu wanafit subwoofers kwenye bodaboda! Nyumba ya ibada isiyojaa hata watu hamsini lakini utakuta PA system yao inatia mji wote taharuki.
Anyway. Kwangu mimi, viwango vya sauti vinawiana inversely na viwango vya akili. Akili kubwa, sauti ndogo. Akili ndogo, kelele mingi.